Akizungumza katika kipindi cha Kivulini Talks, Mtetezi wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo Bisimba ameeleza moja ya jambo lililoongeza uchungu Oktoba 29, ni miili kutoonekana na kukosekana kwa hatua za kawaida za kutoa faraja.
"Mimi ninachoona, nchini tumekuwa na machungu kwa sababu hakuna...
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa wito wa Maombi ya Kitaifa ya Toba, Amani na Ulinzi wa Mungu kwa Taifa, ikiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja (1) rasmi tangu matukio ya mauaji, umwagaji damu na uvunjifu wa amani yatokee wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29.2025...
Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025.
Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya .
Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!.
Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025.
CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
ccm
hilo
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kuanzisha
kumbukumbu
mauaji
mauaji ya oktoba29oktobaoktoba29oktoba292025
safari
sana
serikali
serikali na ccm
wanatamani
Ya Oktoba 29 2025, Mtayajibu tu!!.
Kama Lissu kayauliza kwa Mashahidi wa Jamhuri , kayagusia kwa Mashahidi wa Utetezi!!.
Jiandaeni kutujibu Watanganyika, Ni nani aliwaua Watanganyika wenzetu Oktoba 29!!.
Naomben Mkumbushe Bashungwa, kua yake Mauaji ya Oktoba 29 2025 anahusika 100%.
Samia kumwondoa kwenye Uwaziri , hakuondoi JINAI ya Bashungwa Dhidi ya Watanganyika!!!.
Bashungwa huna lolote unalojua kuhusu CCM, uliokotwa huko matopeni !!.
Unazúngumzia Nchimbi, Kijana wa Chama, Mzee wa Chama...
Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili
Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema CCM haina ushawishi kwa sasa hivyo haiwezi kushinda uchaguzi.
"Ukiwa mwanasiasa, kama huna ushawishi kwa wananchi, you are not a politician, fanya kazi...
Andrew Nyerere ambaye ni Mtoto wa Mwalimu Nyerere anaeleza haya kupitia akaunti yake ya Facebook
--
Hapa nadhani kuna fundamental ignorance kuhusu matatizo yanayotukabili. Fundamental ignorance maanake tunatafuta suluhu mahali ambapo suluhu haiwezi kupatikana. Ni kama tu kutafuta dirisha mahali...
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania.
Wakati serikali ya kigeni...
Muswada mpya wa vyama vyote viwili (bipartisan) unalenga kuielekeza serikali ya Rais Donald Trump kufanya mageuzi makubwa katika uhusiano wa Marekani na Tanzania, kufuatia msako wa kikatili uliotokea nchini humo baada ya uchaguzi mkuu uliopita uliogubikwa na utata.
Muswada huo uliowasilishwa na...
Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi.
Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana, amefafanua kuwa video inayosambaa mitandaoni haihusiani na matukio ya hivi karibuni ya vurugu dhidi ya raia wa kigeni, na kusisitiza kuwa hadi sasa hakuna Mtanzania aliyeshambuliwa kwa sababu ya uraia wake.
Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia mnamo Aprili 23, 2026
Idara ya usalalama wa taifa makini ni ile ambayo inamuambia rais aliyepo madarakani ukweli.
Kama raia wanamchukia kwa ufisadi na mambo yasiyofaa anaambiwa ukweli.
Sio kumdanganya kuzunguka na mabasi ya Yutong zaidi ya 80 alafu wananchi wanamchukia huku anafanya kampeni.
Hata Mwalimu Nyerere...
Mnapiga watoto wa watu risasi, wengine wanakufa wengine wanapata vilema vya maisha. Na bila aibu mnawapa kesi ya uhaini, halafu mkiulizwa mnaishia kujiumauma guys, guys, guys. Mungu yupo
📌Important Statement from the Foreign Ministers of 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK
Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 wakielezea wasiwasi wao na kutoa wito wa kujizuia nchini Tanzania.
#MO29 🇹🇿 #OktobaTunatoka #tanzania...
Heshima kwenu Waungwana
Naandika haya, ukiwa ni msimamo wangu binafsi.
Kwamba kesho nitatiki kwa Dr Samia Suluhu Hassani, Mbunge
wa Jimbo langu, na Diwani wa
Kata yangu.
Sababu ni hizi;
1. Maslahi kwa wafanyakazi.
Rais Samia ameboresha maslahi ya wafanyakazi kwa haki.
Tofauti na mtangulizi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.