Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema CCM haina ushawishi kwa sasa hivyo haiwezi kushinda uchaguzi.
"Ukiwa mwanasiasa, kama huna ushawishi kwa wananchi, you are not a politician, fanya kazi nyingine. Kwa hiyo kwa muunganiko wake, chama cha siasa kinatakiwa kiwe kina ushawishi. Sasa sisemi haina ushawishi; hakuna kitu ambacho CCM wanaweza wakafanya leo hapa Tanzania wakaitisha mkutano, watu wakaenda kwa hiari. Wanalazimika kusomba watu."