Unyama uliofanyika Oktoba 29 2025 ni maradufu ya unyama alioufanya Iddi Amin kwa zaidi ya miaka saba

Unyama uliofanyika Oktoba 29 2025 ni maradufu ya unyama alioufanya Iddi Amin kwa zaidi ya miaka saba

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Ile Oktoba 29 ilikuwa ni ukatiri dhidi ya binadamu.

Ndio maana anajivuna hadharani kuwa watu wa Dar hawataandamana tena.
 
Attachments

  • image_search_1770680885576.jpg
    image_search_1770680885576.jpg
    98.6 KB · Views: 21
Ile Oktoba 29 ilikuwa ni ukatiri dhidi ya binadamu.

Ndio maana anajivuna hadharani kuwa watu wa Dar hawataandamana tena.
Una uhakika IDD AMIN Alifanya unyama!?

Ama ni matango pori uliyolishwa kwenye vitabu vya itifaki (Shuleni) na NYERERE!?

IDD AMIN hastahili dharau! Alikuwa na uchungu na taifa lake kama Gadafi.

Lakini pia hilo huwezi liona kwenye vitabu vya history vinavyotumika mashuleni hapo Uganda!

Nafikiri unajua kwanini!
Alichofanya Nyerere kwa AMIN kumpaka tope, same same MU7...ili andelee kutukuzwa yeye tu UGANDA NZIMA.
 
Idd Amin alileta dharau alipiga mabomu kule Mtukula kabla ya Tanzania kuamua kumfungia kazi.
 
Una uhakika IDD AMIN Alifanya unyama!?

Ama ni matango pori uliyolishwa kwenye vitabu vya itifaki (Shuleni) na NYERERE!?

IDD AMIN hastahili dharau! Alikuwa na uchungu na taifa lake kama Gadafi.

Lakini pia hilo huwezi liona kwenye vitabu vya history vinavyotumika mashuleni hapo Uganda!

Nafikiri unajua kwanini!
Alichofanya Nyerere kwa AMIN kumpaka tope, same same MU7...ili andelee kutukuzwa yeye tu UGANDA NZIMA.
Ukatili wa Idd Amini unafahamika hata nje ya TZ, nyinyi ambao maisha yenu yote mko TZ na shule mmesomea TZ mnadhani nje ya TZ hawaifahamu historia ya Idd Amini. Kampeni ya kumsafisha ilianza pale alipokuwa ukimbizini na kuwa mtu wa swala tano. Wasaudia ndiyo walianzisha kampeni ya kumsafisha japo hasafishiki.
IMG_20260210_084645.jpg
 
Una uhakika IDD AMIN Alifanya unyama!?

Ama ni matango pori uliyolishwa kwenye vitabu vya itifaki (Shuleni) na NYERERE!?

IDD AMIN hastahili dharau! Alikuwa na uchungu na taifa lake kama Gadafi.

Lakini pia hilo huwezi liona kwenye vitabu vya history vinavyotumika mashuleni hapo Uganda!

Nafikiri unajua kwanini!
Alichofanya Nyerere kwa AMIN kumpaka tope, same same MU7...ili andelee kutukuzwa yeye tu UGANDA NZIMA.
Nyie nanyi mnateteaga upumbavu tu. Hivi Idi Amin kwa uovu wote ule alioufanya bado mnamtetea tu? Ila sishangai sana, maana hata Illuminati wanamtete Lucifer na kusema ni mungu mmoja yuko poaaaa sana.

Ulimsikia lakini Theopista Nyaronjo Wamala (mdada aliyekuwa mpambe wa mke wa Idi Amin, Sarah Kyolaba, siku ya harusi ya Sarah na Amin)? Ukimsikia ndo utajua Amin alikuwa mpumbavu sana.
 
Ukatili wa Idd Amini unafahamika hata nje ya TZ, nyinyi ambao maisha yenu yote mko TZ na shule mmesomea TZ mnadhani nje ya TZ hawaifahamu historia ya Idd Amini. Kampeni ya kumsafisha ilianza pale alipokuwa ukimbizini na kuwa mtu wa swala tano. Wasaudia ndiyo walianzisha kampeni ya kumsafisha japo hasafishiki.View attachment 3541925
Halafu anatokea mpuuzi mmoja anakwambia Nyerere ndo alimpaka matope Idi Amin. Yaani Nyerere aliweza kuwahadaa watu wengi duniani kiasi hicho? Basi Nyerere alikuwa na uwezo mkubwa sana.

Ukiangalia hata Viongozi walioheshimika wa Africa hawajawahi kumpa credit Idi Amin. Rafiki yake mwenyewe Muamar Ghadaffi walishindwana baadae. Wote hao ni Nyerere aliwarubuni?
 
KWA USHUHUDA NILIOAMBIWA NA WAATHIRIKA AMBAO WENGINE NI MADAKTARI,HUYU IBILISI KUTOKA ZANZIBAR ANASTAHILI KUPELEKWA ICC AU TUFANYE MAANDAMANO MAKALI KABISA YA KWENDA KUCHOMA MAKAZI YAKE NA YEYE MWENYEWE.MWANZA WALIUWAWA KIKATILI SANA KULIKO SEHEMU NYINGINE JAPO WAMEFICHA UKWELI
 
Ukikutana na dhahama hizo jua unayo matatizo kwa mfumo mzima wa nchi. Ukiwa mtu wa amani hakuna anayeweza kukufanyia unyama huo.
Kijana mdogo wa 12 yrs ambaye hajui hata siasa polisi wanamchukua kwenda kumfira anatoka huko anajiua, ndiyo furaha ya Samia pamoja na nyiyi vijumbe vyake? Kwa hiyo watu hawaruhusiwi kuwa na maoni tofauti na Samia? Mtu akiwa na maoni tofauti tu hana budi kutekwa, kufirwa na kuuawa?
Mnaonaje basi utekaji, ufiraji na uuaji mkaviweka kwenye sheria za nchi bunge lenu lipitishe na muondoe mahakama kwani hizo adhabu huwa mnazitoa bila kushirikisha mahakama.
Samia amehalalisha na ku-legalize Watanganyika wafirwe kwani vinginevyo angezuia polisi wake kuendelea kutumia udhalilishaji huo dhidi ya Watanganyika.
 
Back
Top Bottom