AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

Nimezipenda sana mada zako Ndugu.Ubarikiwe sana.
Samahani pia naomba kuuliza.Jee? Mtu anaweza kuwa na AURA ZAIDI ya moja au mbili?ASAnte sana Ndugu
Aura mtu huwa nayo moja tu lakini zingine ni athari tu za watu anaokutana nazo
 
Kama hili zoezi lina fanyika kwenye mwanga hafifu,je nawezaje kujua aura ya mtu kwenye mwanga mwingi baada ya kujifunza?
 
Nitaanza kujifunza mwakaniKwa sasa mama bado simuelewi
Nalog off
 
Wanaoiba nyota za watu ,ndo huwa wanazitambua kwa kusoma aura ya mwenye nyota au kuna namna nyingine ?
 
Kama hili zoezi lina fanyika kwenye mwanga hafifu,je nawezaje kujua aura ya mtu kwenye mwanga mwingi baada ya kujifunza?
Ndio unaanza kwa kutoa mazoea ya mtizamo wa macho yako mkuu
 
Wanaoiba nyota za watu ,ndo huwa wanazitambua kwa kusoma aura ya mwenye nyota au kuna namna nyingine ?
Kwa uchache sana kwa wanaofahamu lakini kuna namna nyingine kama kumuweka mtu kwenye mtego wa bahati
 
Duh
 
Rakims napende usivyo mvivu wa kusoma na kuandika. Hii pekee ni sifa nzuri
 
kaka, leo nmewekeza kwenye aura reading ...nmetumia kioo cha tv ikiwa imezima na chumba chenye mwanga hafifu
kila niki concentrate kwa chin ya dak 1 tu naona rangi kama mwanga wa taa (nyeupe) kama imenivaa na kila ninapopumua inakua inapotea na kurud
na inakua ina kama umbo la mwili wangu
je , hio ndio aura ? kama sio n nn ? maana sio imagination na nmefanya mara nyng tu
 
Hongera, Huo ni mwanzo wa kuona mionzi inayotokana na aura lakini sio aura kwa maana aura baada ya mionzi hiyo huanza kung'aa kwa rangi yake husika jitahidi kuzidisha zaidi mazoezi yako ili uweze kuona kwa ufasaha asante

Rakims
 
Yani nimekwamia hapo kwenye yellow aura ...ni mimi kabisa hakuna hata haja ya ku confirm
 
Yani nimekwamia hapo kwenye yellow aura ...ni mimi kabisa hakuna hata haja ya ku confirm
Confirm maana kuna ascendant aura na descendant usije kuwa unajilisha matango pori
 
Confirm maana kuna ascendant aura na descendant usije kuwa unajilisha matango pori
Hii thread nimekuja kuitafuta aseee, nataka niijue vizuri haya yote Stage ya kwanza mpka ya mwisho, huu uzi kwa mara ya kwanza nliuona 2017, ila nimeanza kumtafuta Rakims mwenyewe mpk nijue, nataka kujua powers zote kama inawezekana Just to knw and have what is mine Rakims nahitaji Guidance
 
Nakumbuka nyuma uliwahi kunikashifu mkuu leo unataka kusoma kwangu?

Rakims
 
Mi nimejaribu kuangalia rangi nyekundu nimeona aura ya kijani ndani ya dakika 2 na ndo mara ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…