AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

AURA SPECIAL THREAD: Fanya muujiza wa kwanza na Rakims

Niliishia kati mwaka juzi ngoja nianze tena nione kitu madhani kuna kitu
 
Rakims binafsi nakiri wewe ni mwalimu Mzuri saana wa spiritual physics knowledge ila kuna jamaa wengi humu wanalalamika una elements za utapeli...sijathibitisha hilo ila nina mashaka maana lisemwalo lipo na kama halipo.......

Nashauri stay focused and determined kutupa Elimu nzuri ya rohoni we will even pay for it if necessary. Ila kwa sharti la wewe kuwa mwaminifu na mwadilifu kwa maandishi yako haya ya kitaalamu.

Enhee! Shusha sasa mondo za Aura mkuu!!
cousin upo.!!
 
Pia zinasaidia kuwasiliana kwa kutumia mind yaani telepathy.Utaweza kukontrol umeme na radi .pia utaweza kuwasiliana na watu uwatakao kAtika ulimwengu wa 4D.
NB:kama wewe si mzoefu usijaribu kupractise cuz utavanish au to be possessed by demons.
Sasa utazoea vipi usipojaribu mkuu!!

We ulizoea vipi ndugu, nafikiri kuna siku ulianza kwa mara ya kwanza kabisa
 
Back
Top Bottom