Hamza haji
Member
- Jan 29, 2017
- 35
- 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nani kwani we nabii auMkuu hacha kutumia maandiko ya Mungu Kwa nia ya kupotosha wale wasioelewa chochote. Unatumia lugha nyepesi kuwafundisha watu ushetani! Elimu ya Kikristo ina mipaka yake hakuna mahali watu wanaruhusiwa kujifunza ushetani ispokuwa walio upande wa shetani. Kila Elimu ina makusudi, malengo na chimbuko lake( Mungu au Shetani)
No man can perform Supernaturally by himself unless has got assist from either true God or Satan knowingly or unknowingly.
Acha ufala sio lazima kufanya quote Uzi mrefu hivKaribu tena jamaa.
Moja kati ya sheria za kutuliza akili na mawazo ni kutokutegemea kupata matokeo kwa muda huo basi hapo hapo utaona matokeo mkuu ikikushinda hiyo ya karatasi tumia ya kioo yaweza kuwa rahisi kwako, japo wengi huona inatisha kotukana na mwanga wa kwanza kabla ya kusoma aura,Daaahh nashindwa hata nianze vp nafanya hili jaribio nikiwa nimekaa nimesimama au nimelala kama meditation ya pumzi au, alafu nit ipree emty vp akili yangu nisifikirie chochote il niweze focus kwenye hio karatasi...???
nihayo tu kwa sasa
Hizo group mkuu,vigezo gan hutumika ku enrollUnajua Kuitwa tapeli ni jambo la kawaida sana hasa na watu wasiojielewa hapa penyewe nina group zipo tatu zote zina watu wanaojifunza spirituals wanatuma text kama 50 kwa muda wa dk 1 binafsi naelekea ofisini saa moja subuhi hadi saa moja jioni ofisini kwangu napata muda wa kupokea simu za ofisi tu na narudi saa moja jioni foleni hadi kufika home saa 3 haya niambie huo muda saa ngapi utamaliza group tatu zote na ueleze watu waelewe saa ngapi utaingia jf saa ngapi utafanya family issues so ukiambiwa fanya subira basi subiri kweli so mi tapeli kweli tena sana kutokana na muda masaa mawili kwangu dk 20 taachaje kuitwa tapeli so m ploud kuonekana tapeli kwa wapumbavu wawili watatu huo ndio utapeli wangu kukosa muda tofautisha mtu anaekaa home kwenye sofa na kuangalia tv 24 seven na wewe
now na muda utumieni,, ila soon wa group watatoka tena watakuja kuniita tapeli......................!!! nawakaribisha
Rakims
Hapana group nimezifunga nafundisha hapa hapa nikipata wasaa pitia nyuzi zangu zlte utakjifunza kitu, nenda search andika rakims utaona nyuzi zangu nyingineHizo group mkuu,vigezo gan hutumika ku enroll
jw library
Shukrani mkuu rakimHapana group nimezifunga nafundisha hapa hapa nikipata wasaa pitia nyuzi zangu zlte utakjifunza kitu, nenda search andika rakims utaona nyuzi zangu nyingine
Rakims
Sent using Jamii Forums mobile app
asante na karibu mkuuRakims,Uzi wako wa kumuita aliye mbali ndo umenileta huku ,Mimi huwa naziona hizo rangi za pemben mwa vitu au watu kirahisi tu maana muda mwingi napenda kukaa peke yangu just staring into space bila mawazo yoyote ila leo ndo nmejua ni AURA na zina maana duh!..kesho ntazingatia mchana nijue yangu ntakupa mrejesho then nirudi kwenye kutafutana unielekeze vzr
chumvi ya mawe unaweka ndani ya beseni na maji lita 7 saba u anafanya kwenye mwanga mweupe unahisi ile chumvi mawe inavyovuta chini unacommand kuwa unaondoa kila giza kwenye mwili wako mikosi na nuksizote kisha utaskia vichomi kwenye mwili hasa sehemu za tumbo vitauma vumilia ni uchawi baada ya hapo chukua maji safi na chumvi yaRakims je njia ya kusafisha nyota ambayo ni rahisi mtu anayoweza hata kujifanyia mwenyewe nyumbani?
Bado hujamaliza maelezo mkuu umeishia katichumvi ya mawe unaweka ndani ya beseni na maji lita 7 saba u anafanya kwenye mwanga mweupe unahisi ile chumvi mawe inavyovuta chini unacommand kuwa unaondoa kila giza kwenye mwili wako mikosi na nuksizote kisha utaskia vichomi kwenye mwili hasa sehemu za tumbo vitauma vumilia ni uchawi baada ya hapo chukua maji safi na chumvi ya