Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We umesahaelewa somo?Big up
Nifundishe Kujua aura kama ulivosema njia usiotakiwa kupita na kumjua mtu mmbayaKaribu jifunze na kuziona za wengine pia,...
Rakims
Tuelekeze basiKuna kila rangi na maana tofauti tofauti za rangi kwa maeneo tofauti na mida tofauti,
Ila mkuu mm Nimesoma sanaa lakini sijaelewa Kidogo Naanzaje Kufanya hii kitu embu Nijuze japo kifupi mkuuKaribu,
Soma thread yangu vema kisha niambie wapi panakutatiza mkuu,Ila mkuu mm Nimesoma sanaa lakini sijaelewa Kidogo Naanzaje Kufanya hii kitu embu Nijuze japo kifupi mkuu
Maana mzee wangu mganga kama anadanganya watu aache maramoja nataka kuthibitisha
Mbinu hizi
Namna Ya kutumia karata na karatasi Jeupe mie nataka kujarib now Nitoe mrejeshoSoma thread yangu vema kisha niambie wapi panakutatiza mkuu,
Ombi langu nazi wekaje hizi karata pamoja na karatasi mkuu mi nipo chumba cha majaribio hapaHaya fuata maelekezo hapo nimetoa tuone utaishia wapi, ili niweze kukucoach zaidi,
Ok thenChukua hiyo karata nyekundu angalia hiyo michoro myekundu hadi itoe miale ya bluu