Aurlus Mabele akimbiwa na mkewe

Wazazi ndio wana upendo wa kweli kwa kwako ila kuna wazazi wengine wanawatoa kafara(wanawaweka mandondocha) ili wapate mali na kuna watoto wanawatoa wazazi kafara ili wapate mali....HAYA MAMBO HAYA.
 
Never ever trust a woman, I repeat loudly "NEVER EVER TRUST A WOMAN"!


There're men who abandoned their families too. What can you say about that? Usifikirie kwa kutumia masaburi.
 
Aisee mungu ampe nguvu Mabele,nimecheza sana nyimbo zake enzi hizo,ngoja niingie youtube nicheki nyimbo ya esta da na mondory,hizi nyimbo huwa nazikubali sana
 
Upendo muhimu sana,kuishi kwa mazoea ndio hivyo
 
Haya mambo yasikie tu kwa watu!!!....

Ni tukio moja lenye kuumiza moyo zaidi ya kidonda!!.....

Ni kama vile kupokonywa glass ya maji ukiwa na kiu kikali!!!....

Ni kama vile kuachwa na gari kati kati ya msitu mnene.....

Ni wakati ambao ukifanikiwa kuvuka salama unageuka na kuwa kiumbe mwingine kabisa!!!....unakuwa na ufahamu mkubwa sana juu ya Ulimwengu na walimwengu....!!!

Ni watu wachache sana wenye ujasiri na kuvuka salama kwenye mtihani huu!!...

NB

Dunia msongamano
 
Mke mwenyewe kama ndo huyo pichani inaonyesha alimvumilia sana marehemu!
 
Kuna nyimbo flani hv ya loketo huyu mama kauza Sura humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…