Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huyu mwamba ni zaidi ya mwanahabari, anaripoti habari za mgogoro wa Mashabiki ya Congo kwa zaidi ya miaka kumi sasa na mara zote amekuwa akirupoti matukio live akiwa na wapiganaji wa pande zote.
Amekuwa ameonekena akiwa anasafiri pamoja na waasi, akiwa pamoja na wanajeshi wa serikali ya Congo lakini pia walinda amani wa UN. Reporter huyu wa habari za vita amekuwa akiripoti taarifa zake live kutoka uwanja wa vita hili ndilo jambo linalonivutia sana.
Ni riporta wa VOA lakini pia Huwa anatoa taarifa zake ITV.
Hongera kwake na crew yake yote ya Matangazo.