Austere Malivika ni Mwandishi wa habari Jasiri sana, anaandika habari za vita vya Congo DRC akiwa uwanja wa vita

Austere Malivika ni Mwandishi wa habari Jasiri sana, anaandika habari za vita vya Congo DRC akiwa uwanja wa vita

Huyu mwamba ni zaidi ya mwanahabari, anaripoti habari za mgogoro wa Mashabiki ya Congo kwa zaidi ya miaka kumi sasa na mara zote amekuwa akirupoti matukio live akiwa na wapiganaji wa pande zote.

Amekuwa ameonekena akiwa anasafiri pamoja na waasi, akiwa pamoja na wanajeshi wa serikali ya Congo lakini pia walinda amani wa UN. Reporter huyu wa habari za vita amekuwa akiripoti taarifa zake live kutoka uwanja wa vita hili ndilo jambo linalonivutia sana.

Ni riporta wa VOA lakini pia Huwa anatoa taarifa zake ITV.
Hongera kwake na crew yake yote ya Matangazo.
Austere na Keny Katombe ndo waandishi habari za vita wanotambulika na USAGM na Reuters. Wao ndo wanorusha habari za vita hiyo kutokea jikoni kabisa Congo DRC.

Katombe nae ni mwandishi wa habari za video na afanyia Reuters.
 
Huyu Katombe ni mwamba kwerikweri
 
Kuna mjuba nipo nae hapa anadai eti analamjua huyo paparazi anasema eti ni victim wa ngwengwe,hvyo hana cha kupoteza,sijamuamini
 
Kuna mjuba nipo nae hapa anadai eti analamjua huyo paparazi anasema eti ni victim wa ngwengwe,hvyo hana cha kupoteza,sijamuamini
Kuwa victim wa ngwengwe ndiyo kutokuwa na chakupoteza mbona watanzania tunakuwa wajinga kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom