Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
...utamu wa chachandu...au sio?
View attachment 3460
FEDERER Vs NADAL
View attachment 3461
...nani ataibuka kidedea Australian Open Final 2009???
View attachment 3462
...mbaya zaidi, Nadal's leading two set to one... Nadal akishinda hii set ya nne, Federer amekwisha 🙁 !
I am really sad about this, lakini inaonekana kama Roger alijiamini kupita kiasi. I am still praying for him.
Nadal! Nadal, Nadal, what a game it was!
Dominance ya Federer basi tena ,Dogo anazidi ku-maintain number one
...mzee ole uko wapi??? Unamuona kijana alivyokuja juu huyu? Ranked 4th, na tayari keshambwaga federer twice, nadal once,...na tunaelekea wiki tatu za mwisho kabla ya australian open...
Mwaka huu? I bet murray will climb to no2...
mbu,
and where is tz as far as tennis is concern?
[media]http://www.youtube.com/watch?v=gyPEwjTFc-I[/media]
You tube moment
Mwanzo NADAL alikuwa anamfunga FEDERER kwenye ROLAND GAROS but now popote pale
Congrats to NADAL