Australia scholarships for africa as advertised today

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Kila mwaka serikali ya Australia inatoa nafasi 380-400 kwa waafrika, na mgao wa TZ hutofautiana kila mwaka lakini ni 25-40chances katika baadhi ya sekta kwa viwango vya masters na PhD. Tangazo lao leo kwa ajili ya 2014/15 limetolewa katika sector 4, deadline ni Dec 31st
Agriculture/Food Security
Health
Infrastructure

Natural Resource Management
Public Policy

Tafadhali usiiachie nafasi hii HAKUNA UCHAKACHUAJI kwani zinafanywa kupitia GRM contractors ambao wanalinda intergrity ya kazi yao. The best thing I can PROVIDE you free advice kwa ushauri kujaza form na mengine ikiwezekana na huenda ukafanikiwa. Kama ulikuwa na ndoto za kusoma nje ya afrika basi hii ni nafasi yako

Usiogope min Qualification ni Lower second Bachelors degree za science!!
tembelea Australian Awards in Africa

BEST LUCK
 
Hivi hawa watu 106 mliopitia hapa hakuna hata nduguyo ambae ungependa akasome uko majuu? dah nashangaa kwa kweli nimeweka hii toka asb na mpk usiku huu sion hata kuulizia, au mmeshaelewa juu kwa juu?

Labda nisummarize kidogo
Hizi ni nafasi ambapo serikali ya OZ inaingia mkataba na TZ
ukienda huko watakulipia
1. Five star hotel wakati wa intervyuu na wakati wa induction ya maandalizi either Kampala, Dar ama Nairobi
2. GhRAMA zote za safari, menyu unalipiwa na ni flight all over
3. Unachagua chuo chochote katika bara la OZ ni vyuo zaidi ya 60 ambapo 8(G8) viko top 100 world rank
4. Gharama zote za kutoka n kurudi tz unalipiwa, na kila mwezi ukienda huko unapewa kitu kama 3.5m kwa mwez
(am not sure kwa 2014/15)obvious itakuwa ni zaidi. Hivyo kama unapenda kusave huwez kosa 1.5m saving
kwa maisha ya kawaida
5. Unaweza pata nafasi ya kufanya networking na watu toka ulimwenguni kote (elimu kwa OZ ni 3rd source of
income na kuna wanafunzi wengi sana kutoka pande zote duniani
6. Degree zake zinatambulika kimataifa bila zengwe, so unatoka na hela na degree unayo mkononi
7. Na nyingine nyingi tu pitia website yao uone

Ninahisi wengi tu wavivu wa kufuatilia haya mambo na tunaishia kulalamika bila kufight na kujaribu. Kikubwa zaidi nimesema I can give you hand kama ukikwama sehem fulani ya kujaza form na hata wakati wa usaili.

kila la kheri watakao ona umuhimu wa hizi nafasi, cheers
Jerry

cc:
Heaven on earth
 
je naweza kupata offer ya kusoma online ,chuo kipo huko huko australia?
 
je naweza kupata offer ya kusoma online ,chuo kipo huko huko australia?

Jibu ni hapana ni mpaka uende huko huko kwao
Mkuu kama una maswali zaidi ya hilo we ingia kwa website yao wametoa tangazo leo litadumu hadi dec 13 2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…