Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kila mwaka serikali ya Australia inatoa nafasi 380-400 kwa waafrika, na mgao wa TZ hutofautiana kila mwaka lakini ni 25-40chances katika baadhi ya sekta kwa viwango vya masters na PhD. Tangazo lao leo kwa ajili ya 2014/15 limetolewa katika sector 4, deadline ni Dec 31st
Agriculture/Food Security
Health
Infrastructure
Natural Resource Management
Public Policy
Tafadhali usiiachie nafasi hii HAKUNA UCHAKACHUAJI kwani zinafanywa kupitia GRM contractors ambao wanalinda intergrity ya kazi yao. The best thing I can PROVIDE you free advice kwa ushauri kujaza form na mengine ikiwezekana na huenda ukafanikiwa. Kama ulikuwa na ndoto za kusoma nje ya afrika basi hii ni nafasi yako
Usiogope min Qualification ni Lower second Bachelors degree za science!!
tembelea Australian Awards in Africa
BEST LUCK