Australia yaongeza zuio kwa Wananchi wake kwenda nchini Italia. Yaongeza fedha zaidi katika mfuko wa afya ili kupambana na Covid 19

Australia yaongeza zuio kwa Wananchi wake kwenda nchini Italia. Yaongeza fedha zaidi katika mfuko wa afya ili kupambana na Covid 19

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Waziri Mkuu wa Australia Bw. Scott Morrison akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitangaza kuongeza zuio la wananchi wake kusafiri kwenda nchini Italia ikiwa ni miongoni mwa mkakati wa nchi hiyo kuwalinda Wananchi wake dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.

Sambamba na hilo, meelezwa kuwa nchi ya Australia, inawaweka abiria wa kigeni wanaotoka Italia, China, Korea Kusini na Irani chini ya uangalizi maalumu kama sehemu ya kukabiliana na ueneaji wa virusi vya Korona.

Zaidi ya hayo, Waziri Morrison alisisitiza kuwa Raia wote wa Australia wanaosafiri kutokea Italia wanatakiwa kurejea Australia ndani ya siku 14.

Morrison pia alifunua kuwa serikali ya Australia imetenga kiasi cha dola bilioni 2.4 za Australia ($ 1.56 bilioni) katika ufadhili wa ziada wa afya ili kupambana na kuenea kwa virusi vya Corona.

1583905908333.png

ZAIDI SOMA
Australia has extended its travel ban to Italy as confirmed cases of the novel coronavirus in the country hit 112, Prime Minister Scott Morrison announced at a news conference in Canberra on Wednesday.

The ban, which comes into effect on Wednesday evening in Australia, places foreign passengers from Italy under the same restrictions that have been implemented for travelers from China, South Korea and Iran.

All Australian nationals traveling from Italy will also be subjected to a mandatory 14-day quarantine upon their return, Morrison added.

Morrison also unveiled $2.4 billion Australian dollars ($1.56 billion) in additional health funding to combat the spread of the virus.

Of the total, $100 million Australian dollars ($65 million) will fund a new tele-health service for citizens undergoing home isolation. This service will help those in quarantine receive health consultations via their phone on video such as FaceTime or Skype, Australia's Minister for Health, Greg Hunt added.
 
Back
Top Bottom