J jason baby Member Joined May 28, 2014 Posts 17 Reaction score 7 Oct 23, 2014 #1 habari zenu wanajamvi, naomba kuuliza kama kuna mtu aliyesoma kwa schorlaship ya australia anipe taarifa mchakato wake unavyokwenda, wanataka GPA iwe ngapi etc, pili ningependa kujua ubarozi wao upo wapi kwa hapa dar es salaam, ahsante
habari zenu wanajamvi, naomba kuuliza kama kuna mtu aliyesoma kwa schorlaship ya australia anipe taarifa mchakato wake unavyokwenda, wanataka GPA iwe ngapi etc, pili ningependa kujua ubarozi wao upo wapi kwa hapa dar es salaam, ahsante
M MZAWA JF JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 4,491 Reaction score 3,996 Oct 23, 2014 #2 kuhusu ubalozi tz hamna. upo nairobi. mengine cjui