jason baby
Member
- May 28, 2014
- 17
- 7
habari zenu wanajamvi, naomba kuuliza kama kuna mtu aliyesoma kwa schorlaship ya australia anipe taarifa mchakato wake unavyokwenda, wanataka GPA iwe ngapi etc,
pili ningependa kujua ubarozi wao upo wapi kwa hapa dar es salaam, ahsante
pili ningependa kujua ubarozi wao upo wapi kwa hapa dar es salaam, ahsante