Kawaida tsonga hamuwezi Roger,leo ilikuwa ni mechi ya upande mmoja mana Tsonga alionekana amechoka kiakili kuliko mwili kwa seti tano alizokuwa akicheza nazo,Tegemea mechi ngumu kwa Federer on Sunday,the briton anataka kuweka record ambayo haijavunjwa ndani Great Britain kwa miaka 74! ila fed kauliza kwa utani eti ni miaka mingapi vile 150,000?!!