Australian Open:The Grand Slam Of Asia/Pacific

Australian Open:The Grand Slam Of Asia/Pacific

Venus Williams

slide_4459_62525_large.jpg

Serena Williams

slide_4459_63993_large.jpg
 
Hii Mechi ya Serena Vs Henin wameiweka saa mbaya sana...lakini naona sina jinsi bali ni kuamka tu saa hizo. Mechi karibu nyingi walizionyesha mapema sasa leo fainal wameiweka saa za kushotokushoto 🙁
Unaamka saa mbaya halafu Serena anafungwa ndiyo unanuna zaidi...LOL!
 
Maria Kirilenko

slide_4459_62463_large.jpg

Sorana Cirstea

slide_4459_62498_large.jpg

Yanina Wickmayer

slide_4459_62499_large.jpg

Sophie Letcher

slide_4459_63985_large.jpg

Hii Mechi ya Serena Vs Henin wameiweka saa mbaya sana...lakini naona sina jinsi bali ni kuamka tu saa hizo. Mechi karibu nyingi walizionyesha mapema sasa leo fainal wameiweka saa za kushotokushoto 🙁
Unaamka saa mbaya halafu Serena anafungwa ndiyo unanuna zaidi...LOL!

Nitachukia kweli iwapo nitapoteza usingizi just to see her lose.
Im rooting for her all the way.
 
Haka ka Murray kakishinda hatutalala
 
...he he he!

CLASSIC SERENA, 3-SETTER,

SERENA 2 -1 HENIN

SERENA CHAMPION AGAIN!!!

😀
 
She did it! 🙂 I was sooo nervous to watch due to so many unforced errors by Serena but she prevailed 6-4, 3-6 and 6-2 Congratulations Serena! Weekend imeanza vizuri bado MANU sasa J'pili. Now I can go to bed ha ha ha ha ha ha
 
Nitachukia kweli iwapo nitapoteza usingizi just to see her lose.
Im rooting for her all the way.

Mimi wangu haukupotea Mkuu nadhani na wewe pia usingizi wako haukupotea 🙂 Baadaye basi.
 
Williams has now won 12 Grand Slam singles titles, moving her level with Billie-Jean King in the all-time list.
Hongera sana Bibie...
 
Serena Williams won the Australian Open for a fifth time on Saturday

Serena-Williams-Australian-Open-2010-final-tr_2413316.jpg
 
........Huyu mdada mkali kwa kweli, hongera zake Serena.
 
Naona Kamanda Ab-Titchaz kesha fanya vitu vyake....

...😀😀😀 kumbe washabiki wa 'Camel-toe' wengi eeh?

I hope Murray atafungwa kesho, la sivyo 'watajiona' kama wameshinda World Cup hawa watu wa kisiwa hiki...
 
Back
Top Bottom