Australian Open:The Grand Slam Of Asia/Pacific

Hii Mechi ya Serena Vs Henin wameiweka saa mbaya sana...lakini naona sina jinsi bali ni kuamka tu saa hizo. Mechi karibu nyingi walizionyesha mapema sasa leo fainal wameiweka saa za kushotokushoto πŸ™
Unaamka saa mbaya halafu Serena anafungwa ndiyo unanuna zaidi...LOL!
 
Maria Kirilenko




Sorana Cirstea




Yanina Wickmayer




Sophie Letcher




 

Nitachukia kweli iwapo nitapoteza usingizi just to see her lose.
Im rooting for her all the way.
 
Haka ka Murray kakishinda hatutalala
 
...he he he!

CLASSIC SERENA, 3-SETTER,

SERENA 2 -1 HENIN

SERENA CHAMPION AGAIN!!!

πŸ˜€
 
She did it! πŸ™‚ I was sooo nervous to watch due to so many unforced errors by Serena but she prevailed 6-4, 3-6 and 6-2 Congratulations Serena! Weekend imeanza vizuri bado MANU sasa J'pili. Now I can go to bed ha ha ha ha ha ha
 
Nitachukia kweli iwapo nitapoteza usingizi just to see her lose.
Im rooting for her all the way.


Mimi wangu haukupotea Mkuu nadhani na wewe pia usingizi wako haukupotea πŸ™‚ Baadaye basi.
 
Williams has now won 12 Grand Slam singles titles, moving her level with Billie-Jean King in the all-time list.
Hongera sana Bibie...
 
Serena Williams won the Australian Open for a fifth time on Saturday


 
........Huyu mdada mkali kwa kweli, hongera zake Serena.
 
Naona Kamanda Ab-Titchaz kesha fanya vitu vyake....

...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe washabiki wa 'Camel-toe' wengi eeh?

I hope Murray atafungwa kesho, la sivyo 'watajiona' kama wameshinda World Cup hawa watu wa kisiwa hiki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…