Australian Open:The Grand Slam Of Asia/Pacific

...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe washabiki wa 'Camel-toe' wengi eeh?

I hope Murray atafungwa kesho, la sivyo 'watajiona' kama wameshinda World Cup hawa watu wa kisiwa hiki...

Ha ha ha ha ha ha ha I reserve my comments πŸ˜‰ Nawapenda wote wawili, but this time I'll be cheering for Murray although it is a very difficult task to win against Federer. He is in that zone again.
 
...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kumbe washabiki wa 'Camel-toe' wengi eeh?

I hope Murray atafungwa kesho, la sivyo 'watajiona' kama wameshinda World Cup hawa watu wa kisiwa hiki...

Tupo pamoja kwa hilo Mosquito.

Wanamtaja kama 'British', siyo Scottish, ila kama angekuwa from England, wangesema Englishman.

They are starved.

Go Roger!
 
Wanamtaja kama 'British', siyo Scottish, ila kama angekuwa from England, wangesema Englishman.

They are starved.

Go Roger!

He he he..si unajua tena hawa wazee wa PR, kujipia chapuo na kujitilia ndimu?? Uzuri tu ni kwamba enzi za kudanganya watu kuwa 'sisi ni wateule' au 'sisi ndio sisi' kilishapita. Siku hizi kila kitu fiftefifte, na mineno yote inaamuliwa uwanjani. Hamna blah blah blah.

Hata mi nataka Roger, ashinde. Hata bila kumpigia chapuo , the guy has the heart of the champion. Kitu ambacho ni adimu. Mara kadhaa tumeona akiwa 2-0 down na still kuibuka kidedea. Tunategemea hatatuangusha.
 
Tupo pamoja kwa hilo Mosquito.

Wanamtaja kama 'British', siyo Scottish, ila kama angekuwa from England, wangesema Englishman.

They are starved.

Go Roger!
Akichemsha ndio wanamwita Scottish....tayari yuko two sets down!
 
Only a physically fit Nadal can beat Federer on this form. It's 3-2 to Murray in the 3rd set.
 
S..t! Mjukuu wa Malkia amepata break, can he build up from it?
 
That man, Fedex breaks back, 5-4 to Murray....game on!
 
Only a physically fit Nadal can beat Federer on this form. It's 3-2 to Murray in the 3rd set.

'FEDEX' 2 (6)-(6) 0 MURRAY

...fingers crossed, hizi tie breaks sizipendi japo kiwango cha FEDEXPRESS kipo juu! Cum on FEDERERRRRRR!!!!!....................
 
...ndio maana nachukia hizi tie breaks... aaarrrggghhhh!
 
Roger Federer is the 2010 Australian Open Champion
 
Game over!

saaaaaaafi sana FEDERER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
That's the end of the British hype and start of Scottish condemnation by the English press/ppl.
 
Its seem Rogshee was loosing grip kwenye set ya 3, lakini huyu dogo ameshindwa ku-capitalize. Ndio hivo tena asubirie siku zijazo.
 
....wanaanza visingizio, "ooooh back injury", oooh "niggling pains",...pretenders bwana,

...haweshi sababu hawa. Ngoja nikapate istaftahi sasa, jioni kuna mtanange wa kufa mtu Emirates πŸ˜€
 
Its seem Rogshee was loosing grip kwenye set ya 3, lakini huyu dogo ameshindwa ku-capitalize. Ndio hivo tena asubirie siku zijazo.
Murray still has a very long way to go before taking a grand slam, there're too many good players to compete against!
 
That's the end of the British hype and start of Scottish condemnation by the English press/ppl.

...Unawajua kweli hawa 'double faced', lol!

Tim Henman anachooooonga as if yeye ni doctor wa Murray.
Hakuna cha injury kwa Murray wala nini... aaahh wana bore sana
hawa kwa visingizio.
 
.... Ngoja nikapate istaftahi sasa, jioni kuna mtanange wa kufa mtu Emirates πŸ˜€

Pamoja mkuu...

Leo siwatakii mabaya, nawaombea sana mpate draw! - itakuwa njema sana kwetu pale on top spot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…