Hawakosi sababu wanaposhindwa hawa, nafikiri ndio walichorithisha wanasiasa wetu wakati wa ukoloni....hovyo sana!....wanaanza visingizio, "ooooh back injury", oooh "niggling pains",...pretenders bwana,
...haweshi sababu hawa. Ngoja nikapate istaftahi sasa, jioni kuna mtanange wa kufa mtu Emirates 😀
Murray still has a very long way to go before taking a grand slam, there're too many good players to compete against!
Murray still has a very long way to go before taking a grand slam, there're too many good players to compete against!
Sio mzuri kwenye clay court, kwa hiyo sio rahisi kwa French Open....nafikiri chance yake kubwa ni US na Australian open maana anacheza vizuri kwenye hard court....kwa form alokuwa nayo sasa, only Federer na Nadal wanaweza kumzuia,...aombee tu waumie hawa wawili labda ataambulia US Open, au French Open (Rolland Garros),....Wimbledon sijui!
Nadal bado yupo around kwa sana maana ni age-mate wake, labda hizo injuries ndio zimrudishe nyuma. Nadal is a clear candidate to take on Federer's reign , the only worry is about his knees injuries!Dogo kweli bado hajawiva na kuwa na backbone ya kustahili kuchukua grand slam. Asubirie era ya akina Fed na Nadal ipite au a-raise game yake kwa sana.
Dogo kweli bado hajawiva na kuwa na backbone ya kustahili kuchukua grand slam. Asubirie era ya akina Fed na Nadal ipite au a-raise game yake kwa sana.
...Waingereza wapunguze hype wanayowapa hawa kina Andy Murray.