Austria: Atekeleza tukio la mauaji huku akipiga kelele za "Allahu Akbar", alikuwa akitabasamu alipokamatwa na polisi

Wale waliofanya majaribio ya kumuua Trumpth uliona wapi wakatajwa dini zao?
Waliojaribu kumuua Trump walikuwa wamarekani na hawakusema "YESU ASIFIWE" wakati wanakamatwa. Ila hao waislamu magaidi wanaenda nchi za Ulaya zenye wakristo wengi halafu wanafanya shambulizi huku wakimtukuza Allah. So hapo dini lazima ihusishwe.
 
🤣🤣🤣Kwa hiyo wakristo wazungu wakisema ''Allah akbar'' wamausaliti ukristo wakati ni lugha yao.

Unasema kusema Allah akbar'' vip kuhusu aliyevaa msalaba na kutenda kosa ?

Waarabu kweny lugha yao wanaita Allah hata wale wanaobudu dini tofauti , Mungu wanaita Allah ..
 
Kwahiyo unataka uniambie mkristo abebe quran aende kwa wakristo wenzake halafu awaue? Atafaidika na nini?
 
Wale waliofanya majaribio ya kumuua Trumpth uliona wapi wakatajwa dini zao?
Pia Trump ni mkristo na waliojaribu kumuua Trump nao ni wakristo kwahiyo dini haiwezi kuhusika hapa.
 
Kwahiyo unataka uniambie mkristo abebe quran aende kwa wakristo wenzake halafu awaue? Atafaidika na nini?
Tatizo huelewi 🤣 ni ngumu sana mnachanganya tabia ya mtu na dini ,uislamu is all about being righteous lakini binadamu sio perfect ndio maana kuna sheria na hukumu.

Adolf Hitler alikuwa mkristo tena mfuatiliaji sana ila hakujawahi kuhusishwa ukatili wake na ukristo hata siku moja wala chuki zake kwa jews ,hata hao wakina Queen Elizabeth (Anglican) waliwachukia ila ilikuwa ni ishu binafsi sio wakristo wote.

Hata waganga wanamtaja Mungu kweny vilinge vyao lakini wanajulikana kama washirikina ,kwa hiyo mtu akitaja neno fulani basi ndio anahusika na kila kitu ...Allah akbar'' ni Mwenyezi Mungu mkubwa wala halina uhusiano na uislamu
.Kuwa muislamu ni imani ya moyoni sio wakina Andrew Tate sio waislamu wale .
 
Attachments

  • 1000024998.png
    192.7 KB · Views: 1
Pia Trump ni mkristo na waliojaribu kumuua Trump nao ni wakristo kwahiyo dini haiwezi kuhusika hapa.
Sasa mbona kama hauelewki kwa hiyo uko obsessed sana na dini....Ukipata muda soma hi research kwansa ,wazungu wanawachukia watu wa Asia na hawataki hata kidogo...ikiwa ni pamoja na dini ya uislamu kutokana na kusambaa sana so wanatafuta kila njia kuchafua taswira..
 
Huyo Hitler alifanya hivyo ili aitawale dunia ukizingatia pia aliwaua wakristo wenzake ikiwemo wayahudi so dini haikuwa motive yake. Ila magaidi wengi wanafanya mashambulizi kwa motive ya dini uislamu because mtu anaenda mahali penye wakristo halafu anajilipua huku akimtukuza Allah. Hitler hakumtukuza Mungu wakati anafanya mashambulizi na pia aliwaua wakristo wenzake.
 
.ikiwa ni pamoja na dini ya uislamu kutokaa na kusambaa sana so wanatafuta kila njia kuchafua taswira..
So unataka useme Marekani inaajiri watu wakwenda kuwaua wakristo huku wakimtukuza Allah kwakuwa eti uislamu unasambaa? Kuwa serious bro.
 
Sasa mbona hauna takwimu halisi, ISIS imeua waislamu wengi kuliko wakristo ukizingatia kuleta machafuko,wale wanawake waliotekwa na boko haram kuna mkristo pale ? Najua utakuja na kasumba zako maana hauwezi kujibu .

Nimekuuliza kuhusu kushambuliwa kwa Trump unajibu eti wote ni wakristo ,kumbe ni akili yako unaangalia dini ya mtu basi tatizo ni lako so Trump kuuliwa na mkristo wenzie ni sawa? 🤣🤣

Tatizo baya tu wakifanya waislamu basi jaribu kuishi na watu wala dini sio kigezo cha kuangalia kwa sana.
 
Lakini hata wakristu wako wauaji. Unamwona mtu yuko madhabahuni siku ya Jumapili akihubiri upendo na kesho yake anakwenda kumpiga risasi kijana mdogo kabisa tena akiwa ikulu. Wana tofauti gani?
Unavaa kobazi size gani kijana usiungue iyo miguu na jua
 
So unataka useme Marekani inaajiri watu wakwenda kuwaua wakristo huku wakimtukuza Allah kwakuwa eti uislamu unasambaa? Kuwa serious bro.
Unajua maana ya kumtukuza Allah ? Tatizo lipo kweny uelewa ,kiongozi gani wa hayo makundi ni maskini ? Zile silaha unajua wanatoa wapi?

Viongozi wa makundi yote ni mabilionaire hata Osama ni billionaire,unalijua hilo?

Makundi hayo yanataka ranson yanapoteka watu ! Sasa onesha waislmu wamepewa amri ya kupambana ili kupata hela.
 
Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.

Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500
Uyo kutoka nchi Gani aliekamatwa ikiwa ktk nchi ambazo Wazungu walivamia na kuuwa watu Ovyo basi uwo sio Ugaidi kijana anayo haki kisheria kulipizia mauaji ya Wazee wake au ndugu zake!!

Uyo kijana wa kupongezwa!!!! Lkn ikiwa nchi aliotoka kijana sio zilizovamiwa!! Kitendo chake nitakilaaani!!!!
 
Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.

Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI

Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.

Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500

Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.

Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500
Haya matukio yanaonesha ni yakupangwa kuuchafua uislam na kuzuia wahamiaji kutoka nchi za kiarabu.

Inahitaji fikra za wazi kuliona hilo.

Sina dini na siamini dini yeyote ila naona kabsa waislamu wanapakwa tope hususani waarabu wanaohamia ulaya.

Lengo ni kuzuia wakimbizi kutoka nchi za kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…