Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 999
- 1,898
Wale waliofanya majaribio ya kumuua Trumpth uliona wapi wakatajwa dini zao?Sijawahi ona popote kwa sababu porn hawafanyi wakristo pekee hata waislamu wapo wanaofanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale waliofanya majaribio ya kumuua Trumpth uliona wapi wakatajwa dini zao?Sijawahi ona popote kwa sababu porn hawafanyi wakristo pekee hata waislamu wapo wanaofanya.
Waliojaribu kumuua Trump walikuwa wamarekani na hawakusema "YESU ASIFIWE" wakati wanakamatwa. Ila hao waislamu magaidi wanaenda nchi za Ulaya zenye wakristo wengi halafu wanafanya shambulizi huku wakimtukuza Allah. So hapo dini lazima ihusishwe.Wale waliofanya majaribio ya kumuua Trumpth uliona wapi wakatajwa dini zao?
Dini inapokuwa mzigo mzito kuubebaMi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500
🤣🤣🤣Kwa hiyo wakristo wazungu wakisema ''Allah akbar'' wamausaliti ukristo wakati ni lugha yao.Waliojaribu kumuua Trump walikuwa wamarekani na hawakusema "YESU ASIFIWE" wakati wanakamatwa. Ila hao waislamu magaidi wanaenda nchi za Ulaya zenye wakristo wengi halafu wanafanya shambulizi huku wakimtukuza Allah. So hapo dini lazima ihusishwe.
Kwahiyo unataka uniambie mkristo abebe quran aende kwa wakristo wenzake halafu awaue? Atafaidika na nini?🤣🤣🤣Kwa hiyo wakristo wazungu wakisema ''Allah akbar'' wamausaliti ukristo wakati ni lugha yao.
Unasema kusema Allah akbar'' vip kuhusu aliyevaa msalaba na kutenda kosa ?
Waarabu kweny lugha yao wanaita Allah hata wale wanaobudu dini tofauti , Mungu wanaita Allah ..
View attachment 3237654
Pia Trump ni mkristo na waliojaribu kumuua Trump nao ni wakristo kwahiyo dini haiwezi kuhusika hapa.Wale waliofanya majaribio ya kumuua Trumpth uliona wapi wakatajwa dini zao?
Tatizo huelewi 🤣 ni ngumu sana mnachanganya tabia ya mtu na dini ,uislamu is all about being righteous lakini binadamu sio perfect ndio maana kuna sheria na hukumu.Kwahiyo unataka uniambie mkristo abebe quran aende kwa wakristo wenzake halafu awaue? Atafaidika na nini?
Sasa mbona kama hauelewki kwa hiyo uko obsessed sana na dini....Ukipata muda soma hi research kwansa ,wazungu wanawachukia watu wa Asia na hawataki hata kidogo...ikiwa ni pamoja na dini ya uislamu kutokana na kusambaa sana so wanatafuta kila njia kuchafua taswira..Pia Trump ni mkristo na waliojaribu kumuua Trump nao ni wakristo kwahiyo dini haiwezi kuhusika hapa.
Huyo Hitler alifanya hivyo ili aitawale dunia ukizingatia pia aliwaua wakristo wenzake ikiwemo wayahudi so dini haikuwa motive yake. Ila magaidi wengi wanafanya mashambulizi kwa motive ya dini uislamu because mtu anaenda mahali penye wakristo halafu anajilipua huku akimtukuza Allah. Hitler hakumtukuza Mungu wakati anafanya mashambulizi na pia aliwaua wakristo wenzake.Tatizo huelewi 🤣 ni ngumu sana mnachanganya tabia ya mtu na dini ,uislamu is all about being righteous lakini binadamu sio perfect ndio maana kuna sheria na hukumu.
Adolf Hitler alikuwa mkristo tena mfuatiliaji sana ila hakujawahi kuhusishwa ukatili wake na ukristo hata siku moja wala chuki zake kwa jews ,hata hao wakina Queen Elizabeth (Anglican) waliwachukia ila ilikuwa ni ishu binafsi sio wakristo wote.
Hata waganga wanamtaja Mungu kweny vilinge vyao lakini wanajulikana kama washirikina ,kwa hiyo mtu akitaja neno fulani basi ndio anahusika na kila kitu ...Allah akbar'' ni Mwenyezi Mungu mkubwa wala halina uhusiano na uislamu
.Kuwa muislamu ni imani ya moyoni sio wakina Andrew Tate sio waislamu wale .
So unataka useme Marekani inaajiri watu wakwenda kuwaua wakristo huku wakimtukuza Allah kwakuwa eti uislamu unasambaa? Kuwa serious bro..ikiwa ni pamoja na dini ya uislamu kutokaa na kusambaa sana so wanatafuta kila njia kuchafua taswira..
Sasa mbona hauna takwimu halisi, ISIS imeua waislamu wengi kuliko wakristo ukizingatia kuleta machafuko,wale wanawake waliotekwa na boko haram kuna mkristo pale ? Najua utakuja na kasumba zako maana hauwezi kujibu .Huyo Hitler alifanya hivyo ili aitawale dunia ukizingatia pia aliwaua wakristo wenzake ikiwemo wayahudi so dini haikuwa motive yake. Ila magaidi wengi wanafanya mashambulizi kwa motive ya dini uislamu because mtu anaenda mahali penye wakristo halafu anajilipua huku akimtukuza Allah. Hitler hakumtukuza Mungu wakati anafanya mashambulizi na pia aliwaua wakristo wenzake.
Unavaa kobazi size gani kijana usiungue iyo miguu na juaLakini hata wakristu wako wauaji. Unamwona mtu yuko madhabahuni siku ya Jumapili akihubiri upendo na kesho yake anakwenda kumpiga risasi kijana mdogo kabisa tena akiwa ikulu. Wana tofauti gani?
Unajua maana ya kumtukuza Allah ? Tatizo lipo kweny uelewa ,kiongozi gani wa hayo makundi ni maskini ? Zile silaha unajua wanatoa wapi?So unataka useme Marekani inaajiri watu wakwenda kuwaua wakristo huku wakimtukuza Allah kwakuwa eti uislamu unasambaa? Kuwa serious bro.
Uyo kutoka nchi Gani aliekamatwa ikiwa ktk nchi ambazo Wazungu walivamia na kuuwa watu Ovyo basi uwo sio Ugaidi kijana anayo haki kisheria kulipizia mauaji ya Wazee wake au ndugu zake!!Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500
Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500
Haya matukio yanaonesha ni yakupangwa kuuchafua uislam na kuzuia wahamiaji kutoka nchi za kiarabu.Mi nataka tu kujua ni Mungu yupi huyo wa kweli anaewatuma watu kwenda kuua watu wengine kinyama.
Unaweza kudhania huyu mtu ana tatizo la akili ila ni mhanga wa ITIKADA ZA KITAPELI
View attachment 3237500