hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
maalum kwa mafundi umeme wa magar,,tupeane ushauri wa kiufundi na namna ya kutatua matatizo ya umeme katika magari,,pia wenye maswali yanayohusiana na umeme wanaweza kuuliza,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hiyo ni gari ya aina gani?Gari yangu iliungua taa moja ya brake ya upande wa kushoto, nikaona kwenye dash board kuna taa ikawaka(alama kuashiria taa za nyuma za brake zimeungua). Nimebadilisha taa ya brake na kuweka mpya na sasa taa zote mbili zinawaka, lkn mpaka sasa ile taa ya kwenye dashboard inayoashiria kuwa taa ya brake imeungua bado haijazimika. Nilienda kwa fundi akanishauri nifungue waya wa earth wa kwenye battery na nikae dk 15 ndipo niurudishie ili fututa memory. Nimefanya hivyo lkn ile taa bado inawaka. Naomba ushauri wakuu ili hii taa ya kwenye dashboard iweze kuondoka. Asanten sn
Ni toyota Harrier 2001mkuu hiyo ni gari ya aina gani?
jaribu kuangalia kwabza fuse kama zipo sawaNi toyota Harrier 2001
Dkk 15????? Hzo ni sekunde!! Njia ya kuchomoa battry terminal haifai kiufundi coz inaingilia ECU functions, cha kufanya, chomoa EFI relay fuse kwenye fuse box kwa sekund kama 15 hv, then unipe matokeo!! Njia ya kuchomoa battry ni ya kizamani sana na inafaa tu kwa baadhi ya magari, mengine ukifanya hv unaleta matatizo makubwa kama ECU ikikocorrupt, xo utahitaj gharama kubwa kuinitialize eg. Magari kama BMW!!
Tena nijuavyo mm hats ukiweka bulb mbili zenye wats tofauti ile taa inawakaMara nyingi tatizo hili likitokea ujue bulb iliyoweka sio,kwa mf gari za ulaya bulb ikaungua na kwenda kuweka bulb ya elfu tatu(not genuine ) taa kwenye dash haizimi mpaka uweke bulb original,
Hongera kwa kufanikiwa