Auto electrician (umeme wa magari)

Pensador

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2018
Posts
499
Reaction score
973
Fundi na mshauri kuhusu umeme wa magari anapatikana posta dar es salaam, huduma kwa bei nafuu. Kwa yeyote mwenye uhitaji karibu tuwasiliane.
 
Umebobea hasa kwenye magari ya aina gani?? Mkuu na upo posta maeneo gani
Nipo posta maeneo ya shule ya St. Joseph ila ninapofanyia Kazi ni kigamboni Mikadi, magari ninayo shughulika nayo sanasana ni Toyota, Nissan, Audi na mengineyo ila hasa ni upande wa umeme na pia ninatoa ushauri kwa kwa matatizo ya aina hyo...karibu!
 
Nina gari yangu imepaki almost six months sasa nataka kurudi bongo niifufue nifanye service.. one of the things nataka kurekebisha ni kufumua system nJma ya umeme iwekwe upya.. hharama zako zikoje? Gari toyota Cami
 
Karibu...ningependa kumfahamu ni aina gani ya gari ili niweze kufanya estimation kadiri ya Bei ya vifaa then nitakupa mrejesho wa jumla pamoja na ufundi.
 
Nina gari yangu imepaki almost six months sasa nataka kurudi bongo niifufue nifanye service.. one of the things nataka kurekebisha ni kufumua system nJma ya umeme iwekwe upya.. hharama zako zikoje? Gari toyota Cami
Poa hamna Shaka ngoj nifatilie afu nitakupa jibu as soon as possible.
 
Nina gari yangu imepaki almost six months sasa nataka kurudi bongo niifufue nifanye service.. one of the things nataka kurekebisha ni kufumua system nJma ya umeme iwekwe upya.. hharama zako zikoje? Gari toyota Cami
Yaani unataka kutoa wiring yote ya gari na kuweka wiring nyingine?? Au mm ndio sijaelewa?? Na kwa nn unataka kufanya hivyo?? Je wiring yake ina shida gani??.
 
Hapana...ninacho jaribu kuestimate ni systems pamoja na spare ambazo ni muhimu na hata ivyo ingefaa uniambie unapatikana maeneo gan ili tuweze kufanya Kaz kiongoz
 
Mm nipo mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…