Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo posta maeneo ya shule ya St. Joseph ila ninapofanyia Kazi ni kigamboni Mikadi, magari ninayo shughulika nayo sanasana ni Toyota, Nissan, Audi na mengineyo ila hasa ni upande wa umeme na pia ninatoa ushauri kwa kwa matatizo ya aina hyo...karibu!Umebobea hasa kwenye magari ya aina gani?? Mkuu na upo posta maeneo gani
Karibu...ningependa kumfahamu ni aina gani ya gari ili niweze kufanya estimation kadiri ya Bei ya vifaa then nitakupa mrejesho wa jumla pamoja na ufundi.Nina gari yangu imepaki almost six months sasa nataka kurudi bongo niifufue nifanye service.. one of the things nataka kurekebisha ni kufumua system nJma ya umeme iwekwe upya.. hharama zako zikoje? Gari toyota Cami
Hujaona jamaa ameandika ni Toyota Cami?Karibu...ningependa kumfahamu ni aina gani ya gari ili niweze kufanya estimation kadiri ya Bei ya vifaa then nitakupa mrejesho wa jumla pamoja na ufundi.
Soma vizuri ujumbe amesema Toyota CamiKaribu...ningependa kumfahamu ni aina gani ya gari ili niweze kufanya estimation kadiri ya Bei ya vifaa then nitakupa mrejesho wa jumla pamoja na ufundi.
Sio mimi mkuu,kuna mwana pale juu ndo anahitaji hio service.Poa hamna Shaka ngoj nifatilie afu nitakupa jibu as soon as possible
Poa hamna Shaka ngoj nifatilie afu nitakupa jibu as soon as possible.Nina gari yangu imepaki almost six months sasa nataka kurudi bongo niifufue nifanye service.. one of the things nataka kurekebisha ni kufumua system nJma ya umeme iwekwe upya.. hharama zako zikoje? Gari toyota Cami
Karibu...ningependa kumfahamu ni aina gani ya gari ili niweze kufanya estimation kadiri ya Bei ya vifaa then nitakupa mrejesho wa jumla pamoja na ufundi.
Yaani unataka kutoa wiring yote ya gari na kuweka wiring nyingine?? Au mm ndio sijaelewa?? Na kwa nn unataka kufanya hivyo?? Je wiring yake ina shida gani??.Nina gari yangu imepaki almost six months sasa nataka kurudi bongo niifufue nifanye service.. one of the things nataka kurekebisha ni kufumua system nJma ya umeme iwekwe upya.. hharama zako zikoje? Gari toyota Cami
Hapana...ninacho jaribu kuestimate ni systems pamoja na spare ambazo ni muhimu na hata ivyo ingefaa uniambie unapatikana maeneo gan ili tuweze kufanya Kaz kiongozYaani unataka kutoa wiring yote ya gari na kuweka wiring nyingine?? Au mm ndio sijaelewa?? Na kwa nn unataka kufanya hivyo?? Je wiring yake ina shida gani??.
Mm nipo mwengeHapana...ninacho jaribu kuestimate ni systems pamoja na spare ambazo ni muhimu na hata ivyo ingefaa uniambie unapatikana maeneo gan ili tuweze kufanya Kaz kiongoz