smak786110
Member
- Jan 24, 2008
- 90
- 4
Where can I LEARN AUTOCAD ?
Any good institution ?
Or personal experienced people who can teach ?
thanks
Any good institution ?
Or personal experienced people who can teach ?
thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani nawashangaa, mbona hiyo Video ya Training ya AutoCAD ipo hapa JF? Au mpaka mtumiane kwa Email?
Yani sielewi, ni lazima kutumiana emails? Am out of this!
Hizo ni taaluma za watu bora waachie wenye taaluma zao wafanyie kazi na wewe jiendeleze katika taaluma yako sio mtaka kujua mengi huo ndio ushauri wangu
hiyo ni profesional ya watu wengine
Hizo ni taaluma za watu bora waachie wenye taaluma zao wafanyie kazi na wewe jiendeleze katika taaluma yako sio mtaka kujua mengi huo ndio ushauri wangu
hiyo ni profesional ya watu wengine
Nakumbuka wakati nasoma hii Program ilikuwa kwenye version ya AutoCAD 2000, Kisha nikaongeza ujuzi katika AutoCAD 2006.
Nimeitumia sana tu, na sasa natumia AutoCAD 2009. Inasaidia mno, nadhani kwa anayehitaji kujua kuhusu AutoCAD kwa undani na anataka afundishwe si kwa ajili ya cheti (maana mi sitoi cheti) anaweza kunitafuta kuanzia April na pia ninazo Symbols nyingi tu.
Ni vema kujifunza ArchiCAD pia kwani iko simplified zaidi ya AutoCAD.
Nimeshachora ramani zaidi ya 200 kwa AutoCAD lakini ArchiCAD ni presentation nzuri kwa client ambaye hawezi kuelewa mchoro kumpelekea katika 3D view.