mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,404
- 3,275
- Thread starter
-
- #61
Ahsante mkuu soon ntakupa mrejesho.Pole sana kama uko dar nenda Upanga ulizia dispensary ya Family care chini ya mtu anaitwa Profesa Matuja
Mueleze A_Z atakusaidia akishindwa rejea kwangu ila nitakutaka Mbeya mwezi mzima ili uwe sawa .
Pole sana .
Vyakula tunavyokula ndivyo vitakavyotuuwa.
Huu ugonjwa unapona taratibu sana but kutotumia hivi vyakula ni maisha.ila usipotumia mda mrefu mwili huwa unasahauPole sana kwa hio umepona sasa?
Ugonjwa huwa unashambulia viungo ndani ya mwiliYaan zimeamua zenyewe au kuna kitu walikua wanatumia?
Huu ugonjwa hauna tiba mkuu dawa huwa zinapooza tuNajitahidi sana kuzingatia anti inflammatory diet but sometimes nashindwa najisahau naanza kula carbs.
Vp kuhusu tiba asili?! Una info zozote
Gluten ni protini inapatikana kwenye vyakula vya wanga ila ni nyingi sana kwenye nganoGluten ndio nin tutoeni tongo tongo
Glutena ndo huwa inaenda ku trigger auto immuny mkuu vina uhusiano wa karibu sanaMwingine anaongelea mambo ya gluten ambayo haihusiani na unachoumwa (yenyewe inasababisha celiac disease) ! Kiufupi humu ni upotoshaji mkubwa umejaa kwa watu wa sio Madaktari kuongelea magonjwa ilhali hawana hata a,b,c
Shida ni kula ngano tu ama vyakula vyote vya wangaHuu ugonjwa unapona taratibu sana but kutotumia hivi vyakula ni maisha.ila usipotumia mda mrefu mwili huwa unasahau
Kwa experience yangu huwa najiiba nakula ngano. Mfano nisipokula ngano hata mwaka nikaja kula nitakula first week siskii kitu wiki ya 2 ndo naanza kusikia kuchanganyikiwa
Mimi nipo alergic na gluten ndo ina trigger aito immuny disorderGluten haina shida isipokuwa kwa wachache ambao ni allergic! Acha upotoshaji tena gluten allergic wengi ni wazungu sio sisi watu weusi
It’s true, mimi pia waliniambia nna kiasi kikubwa cha protein kwenye damu yangu ila doctor wangu hakuniambia nipunguze wanga.Glutena ndo huwa inaenda ku trigger auto immuny mkuu vina uhusiano wa karibu sana
Mimi nipo alergic na gluten ndo ina trigger aito immuny disorderGluten haina shida isipokuwa kwa wachache ambao ni allergic! Acha upotoshaji tena gluten allergic wengi ni wazungu sio sisi watu weusi
Mkuu mm ni mgonjws wa huu uhonjwa naongea kutoka experience na practice ninayofanya. Nina ndugu yangu yeue anakula protini tu wanga pia sio mzuriNani kakuambia ugonjwa wake una uhusiano na gluten? Wewe kusubtitle video hakukufanyi uwe daktari maana mwisho wa siku utajikuta unapotosha km unavyofanya sasa! Anachoumwa jamaa kinatokana na kuwahi kupata ugonjwa unaitwa Guillane Barre Syndrome ( tamka Giya Baree) huko nyuma ambao haukutibika kikamilifu ndio kwa sasa anapata CIPD km late complication. Mimi namshauri ashikamane na Neurologist wake vzr na sio kutapatapa humu ndani wahuni na wajinga wampotoshe
Is there a link between gluten, a protein found in wheat, barley and rye, and autoimmune diseases such as type 1 diabetes?
Worldwide, but especially in the developed world, the incidence of autoimmune diseases are on the rise. One of these diseases is coeliac disease (or gluten-sensitivity enteropathy) – an autoimmune disorder in which the immune system overreacts by producing antibodies when you eat gluten.
Gluten sensitivity
It’s now also recognised that some people are particularly sensitive to gluten. This condition, called non-coeliac gluten sensitivity, isn’t yet completely understood. However, researchers know for a fact that it isn’t an autoimmune disease.
There is, therefore, a clear link between gluten and autoimmune disease in the sense that people with coeliac disease, an autoimmune disease, should avoid the protein found in wheat, barley and rye at all costs. But what, you may wonder, is the link between gluten, coeliac disease, and other autoimmune diseases?
Some autoimmune disorders genetically linked
Medical experts know that people with coeliac disease are at increased risk for certain other autoimmune diseases – and, the later the age of diagnosis, the greater the risk.
The most common autoimmune disorder that’s genetically linked to coeliac disease is type 1 diabetes, with the common denominators in both conditions being the HLA DQ2 and HLA DQ8 genes. Developing one of these diseases means there’s a greater risk that you’ll develop one of the others, too.
Coeliac disease is also more common in people with rheumatoid arthritis, multiple sclerosis (MS), Hashimoto’s thyroiditis, Addison disease, autoimmune hepatitis and a few other disorders.
But while there certainly is a genetic link between diagnosed coeliac disease and other autoimmune disorders, it isn’t yet clear whether a diet devoid of gluten can help people with autoimmune disorders such as rheumatoid arthritis or MS to manage their conditions better.
It’s furthermore important to realise that eating gluten is unlikely to set the coeliac disease process in motion. If you’re genetically susceptible to coeliac disease, a combination of factors could play a role in developing the disease. These may include a traumatic event, stress, exposure to certain toxins, or becoming infected with a virus.
Good to know
If you believe that you may have coeliac disease or non-coeliac gluten sensitivity, it’s important not to self-diagnose. Avoiding gluten without good reason could mean that you’re cutting out good-for-you, heart-healthy nutrients.
Speak to your doctor about getting a proper diagnosis. If you need to make changes to your diet, it’s best to consult with a registered dietitian.
By Carine Visagie
References:
Kwahiyo ndio ulikaririshwa kuwa kila autoimmune disease inatokana na gluten sio? Halafu unashupaza na shingo kabisa kubishana kisa uliwahi kuambiwa unaumwa celiac disease! Nchi ngumu sana hii. Aliyekwambia ugonjwa anaoumwa jamaa ni sawa na wew ni nani? Je, unajua kuna autoimmune disease ngapi hapa duniani na zaidi ya asilimia 99 hata hazihusiani na hiyo gluten unayong’ang’anizaMimi nipo alergic na gluten ndo ina trigger aito immuny disorder
Leteni msaada wadauSasa naombeni ushauri hapa. Nina dada yangu ameugua kwa miezi mitatu sasa. Mwili unadhoofu, unawasha na alitokwa na vidonda sehemu mbalimbali katika mwili. Baada ya kila kipimo kuonyesha haumwi kitu, baada ya kuhangaika ikagundulika anasumbuliwa na Autoimmune. Shida kubwa ikawa vidonda havifungi yani tumejaribu dawa za kila aina za hospitali ila bado shida iko palepale mpk mgonjwa mwenyewe amekata tamaa kitu kinachompelekea awe stressed ama kachanganyikiwa. Kwa kiasi kikubwa pia ngozi yake ina rashes za kutosha. /Je kuna dawa nzuri anayoweze kumsaidia kukausha vidonda kwa wepesi zaidi na kwa haraka??/
Pole sana...Sasa naombeni ushauri hapa. Nina dada yangu ameugua kwa miezi mitatu sasa. Mwili unadhoofu, unawasha na alitokwa na vidonda sehemu mbalimbali katika mwili. Baada ya kila kipimo kuonyesha haumwi kitu, baada ya kuhangaika ikagundulika anasumbuliwa na Autoimmune. Shida kubwa ikawa vidonda havifungi yani tumejaribu dawa za kila aina za hospitali ila bado shida iko palepale mpk mgonjwa mwenyewe amekata tamaa kitu kinachompelekea awe stressed ama kachanganyikiwa. Kwa kiasi kikubwa pia ngozi yake ina rashes za kutosha. /Je kuna dawa nzuri anayoweze kumsaidia kukausha vidonda kwa wepesi zaidi na kwa haraka??/
Yaani wabongo banaMtu kaandika thread yake kiswahili, wewe unakuja na kiingereza mkuu, sasa unafikiri asipoelewa lugha ya malikia utakuwa umemsaidia nn
Hii bado sijapata msaada.Pole sana...
Kuna mtu wangu wa karibu na yeye kagundulika na tatizo kama hili, anateseka sana... ugonjwa huu unashambulia ngozi , lakini pia unaweza kushambulia viungo vingine kama figo,ubongo nk!
Anatibiwa muhimbili ... huwa hauponi kaambiwa ..apate diet nzuri na ahakikishe hapatwi na jua hata kidogo..anatumia cream za kukinga jua hata akiwa ndani!
Pole sana mkuu. Hope watakuja wenye uelewa wakupe mwongozo. Pia jaribu kupitia tovuti ya MerckManuals.com na usearch hilo tatizo utapata maelezo na solution zake. Hawa ni MSD wa Marekani, marekani na canada wanajulikana kama merck nje ya marekani ndo wanajulikana kama MSD.Habari za hapa. Mwaka jana nilipata tatizo la Autoimmune disease ambapo kinga za mwili zina over react na kushambulia mishipa midogo ya fahamu(nerves).
Kitaalam unaitwa Chronic inflammatory demyelinating polyneuropathy (CIDP).
Wakuu hii hali imenitesa sana almost mwaka mmoja sasa nashindwa kufanya shughuli za kawaida kwa sababu mikono na miguu haifanyi kazi vizuri kama hapo mwanzo.
Nilienda hospital kwa mtaalam wa magonjwa ya mishipa(neurology) akanianzishia dozi ya immunoglobulin mara moja kwa mwezi. Hii therapy imenisaida kidogo kunipa nafuu ila bado ile hali hali inanirudia sometimes.
Wakubwa naomba msaada wenu maana hali ni tete, huu ugonjwa umesababisha nipoteze kabisa furaha ya maisha.
Napata maumivu karibu kila siku.
Miguu inawaka moto, inakufa ganzi sometimes ngozi inawasha na kuchoma mwili mzima.
Naomba msaada wenu wakuu hali tete