Kijiko cha Jikoni
Member
- Nov 24, 2017
- 13
- 10
Nina magari mawili yameanza matatizo kwenye uingizaji wa gia. Gari moja ni NOAH SR 50 4WD tulitoa driving shaft ya mbele ikabaki kuvutia nyuma. Baada ya wiki mbili ikaanza kugoma kuondoka hata ukiingiza gia kwenye D na baadaye ukiongeza moto inaondoka kwa kushituka.
Gari ya pili ni IST injini ya 2NZ. Niliipaki muda mrefu miezi sits hivi. Nilipojaribu kuweka gia ya reverse ikagoma kurudi nyuma. Mafundi wakafungua sampo na kusafisha filter wakarudisha transmission fluid ile ile gari ikakubali kuondoka. Baadaye sasa haibadilishi gia hadi nilegeze mguu kwenye moto ndipo inabadili gia.
Swali langu; 1. Nimebadili oil na kuweka iliyoandikwa kwenye deep stick lakini bado gia box zote mbili hazijatengamaa. Kuna njia nyingine?
2. Nimeambiwa nitafute oil inaitwa LUCAS TRANSMISSION FIX nitaipata wapi? Bei gani?
Naomba sana msaada wenu wana JF.