Automatic transmission problems

Automatic transmission problems

Joined
Nov 24, 2017
Posts
13
Reaction score
10
Nina magari mawili yameanza matatizo kwenye uingizaji wa gia. Gari moja ni NOAH SR 50 4WD tulitoa driving shaft ya mbele ikabaki kuvutia nyuma. Baada ya wiki mbili ikaanza kugoma kuondoka hata ukiingiza gia kwenye D na baadaye ukiongeza moto inaondoka kwa kushituka.

Gari ya pili ni IST injini ya 2NZ. Niliipaki muda mrefu miezi sits hivi. Nilipojaribu kuweka gia ya reverse ikagoma kurudi nyuma. Mafundi wakafungua sampo na kusafisha filter wakarudisha transmission fluid ile ile gari ikakubali kuondoka. Baadaye sasa haibadilishi gia hadi nilegeze mguu kwenye moto ndipo inabadili gia.

Swali langu; 1. Nimebadili oil na kuweka iliyoandikwa kwenye deep stick lakini bado gia box zote mbili hazijatengamaa. Kuna njia nyingine?

2. Nimeambiwa nitafute oil inaitwa LUCAS TRANSMISSION FIX nitaipata wapi? Bei gani?

Naomba sana msaada wenu wana JF.
 
Naomba sana msaada wenu wana JF
1. Gari ziko mkoa gani?

2. Kwanini mliondoa driving shaft za mbele kwenye hiyo SR50. Lengo lilikuwa ni nini?

Tatizo La ist ninaweza kulitatua, hilo la SR50 itategemea.

Naomba ujibu kwanza hayo maswali ya juu.
 
Kwenye kuondoa driving shaft, wataalam wameshaurije? Au wewe mwenyewe ni mtaalamu? Kuna matokeo chanya/hasi kwenye kufanya hivyo? Ni yapi? Umezingatia hatua zote za kufanya wakati unafanya hilo?

Kuna wataalamu humu walishauri kucheki/kubadili filters/chekeche/strainer ya gearbox, ikishindikana, badili tu gearbox, mafundi wetu wengi ni kama madereva bodaboda, watakugeuza kitega uchumi
 
Asante sana Mkuu KWA ushauri wako. Tuliondoa driving shaft ya mbele kwa sababu mafundi wa huku Tabora huwa wanaziondoa KWA lengo la kupunguza ulaji wa mafuta.

Pia spare parts za CV joint, cross bearing ya shaft za mbele na rubber boots zote ya nje na ya ndani KWA Noah SR 50 4WD hazipatikani Tabora, Nzega na Igunga hadi uende Kahama au Mwanza.
 
ingekuwa upo Dar hiyo Ist ningekurekebishia.

Ila ndio hivyo.
 
Screenshot_2021-01-18-11-57-08-231_com.us.thinkdiag.mini.png

Mfano huyu gari yake inashtuka wakati wa kubadili gear. Nmepima leo nmekuta Solenoid ambayo ndio inacontrol pressure (SLT) ndio ina shida na ikaleta hiyo code P1760.

Lakini sababu za kushtuka huwa zipo nyingi.
 
In our experience, Lucas Transmission Fix can stop seal leaks as long as they are small leaks. Once the leak becomes major, Lucas Transmission Fix will only slow down the leak, but it will not stop the leak. Keep in mind that while Lucas Transmission Fix will stop small leaks, this repair will not last forever.
Nina magari mawili yameanza matatizo kwenye uingizaji wa gia. Gari moja ni NOAH SR 50 4WD tulitoa driving shaft ya mbele ikabaki kuvutia nyuma. Baada ya wiki mbili ikaanza kugoma kuondoka hata ukiingiza gia kwenye D na baadaye ukiongeza moto inaondoka kwa kushituka.

Gari ya pili ni IST injini ya 2NZ. Niliipaki muda mrefu miezi sits hivi. Nilipojaribu kuweka gia ya reverse ikagoma kurudi nyuma. Mafundi wakafungua sampo na kusafisha filter wakarudisha transmission fluid ile ile gari ikakubali kuondoka. Baadaye sasa haibadilishi gia hadi nilegeze mguu kwenye moto ndipo inabadili gia.

Swali langu; 1. Nimebadili oil na kuweka iliyoandikwa kwenye deep stick lakini bado gia box zote mbili hazijatengamaa. Kuna njia nyingine?

2. Nimeambiwa nitafute oil inaitwa LUCAS TRANSMISSION FIX nitaipata wapi? Bei gani?

Naomba sana msaada wenu wana JF.
 
View attachment 1680321

Mfano huyu gari yake inashtuka wakati wa kubadili gear. Nmepima leo nmekuta Solenoid ambayo ndio inacontrol pressure (SLT) ndio ina shida na ikaleta hiyo code P1760.

Lakini sababu za kushtuka huwa zipo nyingi.
Huyo jamaa nilimuunganisha na wewe nikampa namba yako hongera kwa kutatua shida yake maana alikuwa na kipele sana

sent from HUAWEI
 
Back
Top Bottom