2in1 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 224 Reaction score 109 Oct 14, 2016 #1 Wakuu habar zenu,Hivi hiyo course ya automobile ipoje kwenye suala zima la ajira na challenge zake ni zipi? Nimechaguliwa kusomea degree yake hapo NIT sasa nataka ufafanuzi zaidi kutoka kwenu.Naombeni msaada wenu wakuu
Wakuu habar zenu,Hivi hiyo course ya automobile ipoje kwenye suala zima la ajira na challenge zake ni zipi? Nimechaguliwa kusomea degree yake hapo NIT sasa nataka ufafanuzi zaidi kutoka kwenu.Naombeni msaada wenu wakuu