Automobile engineering

Automobile engineering

2in1

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
224
Reaction score
109
Wakuu habar zenu,Hivi hiyo course ya automobile ipoje kwenye suala zima la ajira na challenge zake ni zipi? Nimechaguliwa kusomea degree yake hapo NIT sasa nataka ufafanuzi zaidi kutoka kwenu.Naombeni msaada wenu wakuu
 
Back
Top Bottom