Mkuu hizo avatar ni watu wengine unaowafananisha na watu wengine ama ndo watu wenyewe?Heri ya mwaka mpya wapendwa wa JF. Leo nipo tena kwenye avatar za Jf. Kuna avatar humu. kila nikiziona zanikumbusha watu, kitu au mahali fulani: Orodha ya avatar na majina ya watu/vitu ninavyokumbuka ni:
1. avatar ya PakaJimmy: Yanikumbusha Mohamedi Ali, (Cassius Clay) akimshushua mpinzani wake kabla ya pambano la ngumi.
2. avatar ya Keren Happuch: Yanikumbusha Opray Winfrey alipokuwa na umri wa miaka 22.
3.avatar ya Russian Roulette: Yanikumbusha Salama Jabir mwanahabari maaruf Afrika Mashariki.
4.avatar za FaizaFoxy, Asha Dii, Fatma Bawazir na Mwali:Zanikumbusha Tanga Zanzibar na Mombasa
5. avatar za Lizzy na Kabakabana: Zanikumbusha mashindano ya Miss Tanzania
6avatar ya Nitonye: Yanikumbusha Mike Tyson
7. avatar ya Excellent:Yanikumbusha mchezaji Wayne Rooney wa Man U.
8.avatar ya The Finest:Yanikumbusha Nicholaus Anelka anayechezea Chelsea.
Na wewe je? Wakumbuka nini ukiona baadhi ya avatar za wanajf?
..................................................................................................
.....................................................................................................
Mkuu hizo avatar ni watu wengine unaowafananisha na watu wengine ama ndo watu wenyewe?
Sijui menielewa mkuu?
Kwamfano avatar ya PakaJimmy itakukumbushiaje Muhammad Alli?
Na mbona Avatar ya excellent haifanani kabisa na Anelka?
Ama computer yako mkuu?Or macho?lol
Lol! Okay...Afu ya kwako inanikumbusha Nyerere
Usiniulize fomula niliyotumia
Lol! Okay...
Avatar yako yanikumbusha enzi nawinda ndege kwa manati
Afu huyo ndege alikuwa mtamu
Alikuwa anaitwa Kilamaua.
Do you bird-watch? MI pia member, ingawa amateur kiasi...ya kwako inanikumbusha moja ya endangered birds waliopo eastern arc milima ya uluguru anaitwa "ULUGURU BUSH SHRIKE"
Avatar ya husninyo yanakumbusha lijibibi flani hivi linaishi mpwapwa.
Mkuu hizo avatar ni watu wengine unaowafananisha na watu wengine ama ndo watu wenyewe?
Sijui menielewa mkuu?
Kwamfano avatar ya PakaJimmy itakukumbushiaje Muhammad Alli?
Na mbona Avatar ya excellent haifanani kabisa na Anelka?
Ama computer yako mkuu?Or macho?lol
Mi nilikua namuuliza Matwi, sio wewe. lol 🙂Sorry Mwali. Bird watching isn't my cup of tea!
Macho yako mabovu, mbona mimi inanikumbusha miss fulani hivi anaishi Mpwapwa? Kamuone daktari wa macho haraka kabla hujawa kipofu..