Avatar ya kike kumbe mwanaume

Daah.... Ila ba zuhura hakuna ubaya kwangu naona ni sehemu ya u-fake ID .
Pole pole hivi hivi wanaanza, mwisho kama wahenga walivyosema "mzaha mzaha, hutunga usaha".

Ni maisha waliyoamua tu.
 
Harruci ya mane sio ya nchi hii. Ukiachana na the whole white theme, aisee zile diamonds sio za nchi hii, kwa kifupi kila kitu sio cha nchi hii
Kwanu hio harusi ilikuwa nchi hii? Sio huko USA?
 
Aiseee...
 
I'm sorry kaka angu,sitokuita tena shoga angu. Namiss story za umbea wa majuu sina wa kupiga nae kina black chyna kusue kardashians nabaki nayo mwenyewe tu. Nisamehe lakini nawe badilisha hiyo avatar labda kama una mpango mwingine.

Hapa unaweza kunikuta, siyo mfuatiliaji sana wa hawa watoto lakini nimekuwa nikiangalia jinsi ambavyo NBA players wanavyoflop wakitoka na members wa hii familia.

Mfano 2 years back; Khloe na James Harden, baada ya James Harden Kuachana na Khloe anafanya vizuri sana.

Last season Khloe kahamia kwa Tristan Thompson, Thompson productivity yake ikashuka sana, na mwaka huu amepata majeruhi ambayo hajawahi kuyapata.

This season Kendall Jenner anatoka na Griffin, Griffin msimu haumwendei vizuri kabisa.

Nahisi ni Kanye pekee amekuwa kwenye mahusiano nao kwa muda mrefu bila kuathiri issue zake.
 
[emoji713] [emoji742] [emoji765] [emoji639] [emoji768] [emoji742] [emoji701] [emoji671]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…