Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
MmhNawahi kufungua sabato....[emoji13] [emoji13]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhNawahi kufungua sabato....[emoji13] [emoji13]
Ana moyo mtupu kama debe, akigongwa tu anali....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Rudi hapa jiwe... Shunie hana madhara
Watu wa humu wanakera sana utafkili amekuzaa yeye anavyoongea kwa kujiamini me mwenyewe kila siku naambiwa dume mfyuuu [emoji1][emoji1][emoji1]Nyie watu nyie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.
Ni hivi kuna kituko kimoja kimetokea (i don't mean to offend anyone kama itakugusa,ila jifunze).
Juzi kati iliingia Pm,maserati mambo? Mie nikajibu poa. Akanitext tena mzima,nikajibu mzima. Unaishi wapi,mie nikajibu Tanzania. Akasema nimeona uzi wako wa lyrics unapenda sana mziki nikamwambia ndio napenda sana.Basi siku ikapita.
Nikasema ngoja nicheki profile ake,haja specify male or female. Nikacheck avatar kuna picha ya murembo basi nikajisema kuwa mdada huyu.
Siku nyingine akanitext tena,tukachat kidogo lakini ishu ya entertainment aka declare anampenda diddy huyu sean.
Sasa mi nikamwambia shoga angu unajua diddy juzi kafunguka kuhusu accusation ya Nelly kubaka?hakunijibu. Nami nikapotezea. Siku nyingine kimbelembele kikanijaa nikamtumia picha diddy yuko kwenye mane event,hii harudi ya gucci mane na keyshia kaoir nayo hakujibu na akamute ghafla. Basi na mimi nikampotezea.
Leo eti analalamika kwanini namuita shoga angu!!! Nikamwambia hiyo kawaida wadada kuitana hivo. Kwanini asibichambe,eti ye sio mdada yeye man. Nikamuuliza mbona avatar ya kike kanijibu haikuhusu. Chaaaaa!!!!
Nyie wakaka,basi muwe mnaweka avatar hata za magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana tunajua wadada wapenda magari magari kina maserati na ferrari tuko wachache sana.
I'm sorry kaka angu,sitokuita tena shoga angu. Namiss story za umbea wa majuu sina wa kupiga nae kina black chyna kusue kardashians nabaki nayo mwenyewe tu. Nisamehe lakini nawe badilisha hiyo avatar labda kama una mpango mwingine.
Siku njema wakuu.
Siku hizi MmmmhSasa we unaanzaje kunishindwa kwa mfano
HahahaNawahi kufungua sabato....[emoji13] [emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani weweSiku hizi Mmmmh
Mwajuma Mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] simuelewi. Ananipa u bakari wakati mie mwajuma
Ujue nasubiria jibu jiweAna moyo mtupu kama debe, aligongwa tu anali....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hurumia mbavu zangu jamanHaha [emoji23]
Una tabia za wasiojulikana
Hivi ilikuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hurumia mbavu zangu jaman
Basi sawa bibieNdioo
Woiiii kuhusu nini tena jamaan dadaHivi ilikuwaje
MmmmhWoiiii kuhusu nini tena jamaan dada
Unanifananisha Na nani babyMi namfananisha na mwingine hivi...ila naemfananisha nae hawaelewani kabisa