Avatar ya kike kumbe mwanaume

Avatar ya kike kumbe mwanaume

Wana jamvi kwema humu? Natumaini wote wazima.
Ni hivi kuna kituko kimoja kimetokea (i don't mean to offend anyone kama itakugusa,ila jifunze).

Juzi kati iliingia Pm,maserati mambo? Mie nikajibu poa. Akanitext tena mzima,nikajibu mzima. Unaishi wapi,mie nikajibu Tanzania. Akasema nimeona uzi wako wa lyrics unapenda sana mziki nikamwambia ndio napenda sana.Basi siku ikapita.

Nikasema ngoja nicheki profile ake,haja specify male or female. Nikacheck avatar kuna picha ya murembo basi nikajisema kuwa mdada huyu.

Siku nyingine akanitext tena,tukachat kidogo lakini ishu ya entertainment aka declare anampenda diddy huyu sean.
Sasa mi nikamwambia shoga angu unajua diddy juzi kafunguka kuhusu accusation ya Nelly kubaka?hakunijibu. Nami nikapotezea. Siku nyingine kimbelembele kikanijaa nikamtumia picha diddy yuko kwenye mane event,hii harudi ya gucci mane na keyshia kaoir nayo hakujibu na akamute ghafla. Basi na mimi nikampotezea.

Leo eti analalamika kwanini namuita shoga angu!!! Nikamwambia hiyo kawaida wadada kuitana hivo. Kwanini asibichambe,eti ye sio mdada yeye man. Nikamuuliza mbona avatar ya kike kanijibu haikuhusu. Chaaaaa!!!!

Nyie wakaka,basi muwe mnaweka avatar hata za magari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana tunajua wadada wapenda magari magari kina maserati na ferrari tuko wachache sana.

I'm sorry kaka angu,sitokuita tena shoga angu. Namiss story za umbea wa majuu sina wa kupiga nae kina black chyna kusue kardashians nabaki nayo mwenyewe tu. Nisamehe lakini nawe badilisha hiyo avatar labda kama una mpango mwingine.

Siku njema wakuu.

[emoji115][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Back
Top Bottom