BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Iko moja ya kidole kupitishwa jichoni kama jicho limetobolewa. Naichukia mno ile.
Kuna avatar ya member yeyote hapa jamvini usiyoipenda au hujisikii vizuri ukiiona?
Siyo utani, Avatar za hawa watu mimi sizikubali kabisa..
-Kichwa Kichafu
-Joseverest
Hebu weka usiyoikubali hapa