Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hii avatar yangu naweza kusema ndio avatar ya mwaka 2020/2021.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii ndio hali halisi, men always die for womenKilo ngapi...?
It's all about sacrifice for the love..
But I'm Vinci snow, I know nothing
Ujumbe kwa wanaume wenzanguHii avatar yangu naweza kusema ndio avatar ya mwaka 2020/2021.View attachment 1412049
Ujumbe kwa wanaume wenzangu
Muwe makini na wadada mnaoona wanapendeza
No. Sijatendwa , naweza tu mapenzi na vioja vyakeUmetendwa?
The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Mama unaielezeaje hii picha?Ua jekundu
Mama unaielezeaje hii picha?
Nakutunuku shahada ya heshima kuanzia leoNimebobea kwenye Mahaba ila kuchomana mkuki moyoni hapana aiseeeh.
Mwanamke ni ua, mwanamke ni pambo, mwanamke ni manukato shurti kuchanua muda wote shurtu kutunzwa...
Ukiwa mpenda maua mazuri yanayonukia na kuchanua kwa ukubwa, basi unagharama ya kuilipia.
Bili ya maji ya kulinyweshea ua kila asubuhi na jioni
Uweke uzio au wavu kuzunguka ua lako ili ng'ombe na mbuzi wasile ua lako ukiwa kwenye mihangaiko yako ya kuingiza kipato.
Ua linataka mwanga wa jua kila siku shurti kama umelipanda kwenye kopo uhakikishe hulifungii ndani litadhoofika kwa kukosa mwanga wa jua, kama lipo kwenye bustani nje basi vyema.
Usiruhusu majirani, marafiki na jamaa kulishika shika ua lako litanyauka mapema, acha waliangalie kwa macho tuu, waweza ruhusu wapige nalo picha kwa sharti ya kutolishika ua.
Kila jioni uzungumze na ua lako huku ukilishika kwa uangalifu taratibu kwa mahaba ukiwa unalinusa na kulibusu, hakika halitasinyaa wala kunyauka maana kila jioni litakuwa linasubiri mahaba teketeke kutoka kwa mtunzaji.
K' Matata.
Nakutunuku shahada ya heshima kuanzia leo