Hilo ndo jeshi la ukweli mkuu yan full shangwe mengine ni mapito tu wala siogopisema na2mia via mobile ningekua natumia desktop ningekugongea LIKE,Sijui kwanini walizitoa LIKES kwa mobile!!! ........ VIVA THE BLUES ARMY
ana umri kama wa kwangu,maana tuko wote darasa moja mbuyuni sm.