biggy nachukia vidonge mimi,haijalishia ni vya aina gani.
huwa najilazimisha sana kusoma post zako kwa kuwa tu damu ni nzito.........
Chloe kule kwenye 24 wewe hunifanya nilale macho.
warum?LOL:hippie:
novemba india mic echo kilo unifom mic india dabo siera
nimecheka sana leo....hujatulia kabisa...india lima alpha hotel alpha tango alpha mike india mike india november india mike echo kilo uniform mike india sierra sierra sierra alpha november alpha
danke schon
hivi eeeh!!
mgongo wako waniua ua na macho yako yaniua ua ....................... preta ni kinda langu lenye rangu ya chungwaa........................
asa mkulu si unegandika rangi ya chungwa hapo unatafuta disqualification!
LMAO....Betina na Zena...ahahahahaaaaa
Avatar mpya ya Belinda....ni holy guacamole na muy caliente
Awwww!!Gracias :smile-big:
lamba basi hio lip stick??inayochuruzika.....................
Hiyo itakuwa kazi yangu bana.....
lamba basi hio lip stick??inayochuruzika.....................
kuna moja ya nani sijui i dont like it, ile anayo mnyofoa mwenzie tumbo na kumpiga nayo kisha analivaa tumbo kama kofia