Avatar za member wa JF zinaendana na tabia zao.

Ni Mimi ndugu
 
Wote nyie kwa kukana/kushangaa mmethibitisha kwamba alichokisema mleta mada ni kweli. Asante kwa kufanya hivyo kwa kuwa mmesukumwa na jinsi mlivyo.

[emoji3][emoji3][emoji3] FUMBO MFUMBIE ...
Kweli we unaendana na avatar yako.
 
Joseverest umemaingizia

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…