Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosaaaaa!!we ni sniper la k.i.b.i.t.i
Umekosaaaaa!!
Ni Mimi nduguHabari wadau, nimejaribu kufikiria na hili kuhusu avatar za member wengi wengi wa jf zinaendana na tabia zao.maana sometime nikiangalia avatar ya mtu na anachopost au comments nagundua wazi kabisa tabia na avatar iliyopo ya member husika inaendana na tabia yake mfano
Rohombaya,joseverest,mwanamama faizafox,mensaah, mshana jr bila shaka ni yake kabisa na wengine wengi.
Sio kweli
big NOOOOO
Na Mimi jee
Kweli we unaendana na avatar yako.Wote nyie kwa kukana/kushangaa mmethibitisha kwamba alichokisema mleta mada ni kweli. Asante kwa kufanya hivyo kwa kuwa mmesukumwa na jinsi mlivyo.
[emoji3][emoji3][emoji3] FUMBO MFUMBIE ...