Avatar za Wana JF na Michango yao zinafanana kabisa

Je mfano sisi tunatumia avatar za watoto... mfano mi natumia ya my cute lil uncle , mtooto wa dada yangu baby azizah...

inamaana michango yangu ni ya kitoto...?

Jinsi ulivyo nijibu kule
kwenye jua mmmhh
Kila ulichosema hapo nakubali
asilimia mia ya mia na
ntaogezea zaidi na zaidi..
mmhh lakini sio hapa .....

Hahahaha! Sio waswahili kloro, ni kweli alikuwa anashikiliwa na polisi... We unadhani alikuwa wapi siku zote???..lol..

Dah kumbe kwa kujifagilia umo ehhh?!

Saluni huku kwetu hapana...tushazoea kukaa kwenye vigoda na kusukana bure!!!
kampeni si mliahidiwa kujengewa saluni huku vp tena!

Hapana hauna mchango wa kitoto kwa mimi wewe yaonekana ni mtu unayewapenda watoto.Kwa kifupi unaonekana wewe ni baba mzuri.

Hapana hauna mchango wa kitoto kwa mimi wewe yaonekana ni mtu unayewapenda watoto.Kwa kifupi unaonekana wewe ni baba mzuri.
reverse psychology,advantage of the technique the victim never knows what you really mean.i like it!

Mkuu nakupa tano,ukweli unaonekana,toka utoe usemi wako naona kila siku watu wanafanana na avator zao.
Jf inabididi wakupe u Dr.Kwa utafiti wako .Big up

Gugwe hicho kiavatar chako nacho ....? anza nacho banaa ... na hizo herufi ... zieleze zinafanyanini hapo ...!!

Na wewe unajtuujulisha kuwa kama ilivyo Avatar yako na kitabia upo hivyo hivyo?

Mi sa ivi ni born again Christian.

Jesus christ arrested mi long kitambo.

Yesu Ni Bwana

Haleluyaaah

Ukiulizwa leo kwanini uliweka hiyo avatar yako?

Habari wana jf wenzangu
Kumekua na avatar tofauti humu au kwa jina jengine ni profile picture

Nyingine nikiziangalia mm nacheka tu nyingine zinaogopesha na nyingine huuzunisha

Kuna nyingine kama picha hata ukiona mitandaoni humo hata nje ya jf unamkumbuka mhusika wa humu

Nyingine huwa zinajenga sura ya mtu kwamba zinakuaminisha kisaikolojia kwamba ndiye huyu mtu kiasi kwamba hata mtu akiitoa hiyo avatar watu wanamuomba airudishe maana washaijengea picha kwamba ndio yeye
Kwa mfano FaizaFoxy au @nyaningabu Mzee Mwanakijiji Daudi Mchambuzi nilishajijengea akilini kwamba ile avatar ishafanana naye hata nikimuona live barabarani nitakataa kwamba sio yeye bali yeye alipaswa afanane na ile avatar (ndo hivyo avatar zinatujenga kisaikolojia na kiakili tukivuta picha ya mtu wa humu yaani watamani afanane na avatar husika)

Lakini najuwa kabisa wengi humu wameweka avatar wakijua kiundani sababu ya kumuweka huyo mtu(kama ni mtu) na ni kwanini alimuweka

Ukiulizwa avatar yako kwanini uliiweka utasema ninini?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…