Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Asante sana...wewe havikupi furaha hvyo au hutumii?Black beauty asie na chura yes ndo me hongera kwa kuwa na furaha kwenye vitu kaa hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana...wewe havikupi furaha hvyo au hutumii?Black beauty asie na chura yes ndo me hongera kwa kuwa na furaha kwenye vitu kaa hizo
Asante sana...wewe havikupi furaha hvyo au hutumii?
Nimelipenda tako lilivyobinuka
Cha upole....
Rafiki Mkuyee, mi nahisigi una bonge la mkuyee[emoji3] [emoji3]SASA SIJUI KAMA MICHANGO YANGU INAFANANA NA MKUYENGE
Kasumbufu wewe[emoji3][emoji848][emoji848]kuna kaukweli
Are you the one kwa hiyo avatar dear??, uko vizuriiiChakuombea mkopo kwenye vikoba siunajua tena[emoji23][emoji23]
Kapole kenyewe, ila una vimisimamo hivi,nimepatia eehKama yangu e?
Umepatia kwenye vimisimamo 😊😊Kapole kenyewe, ila una vimisimamo hivi,nimepatia eeh
Ahahaa haya mwaya[emoji3] mtoto mtukutuUmepatia kwenye vimisimamo [emoji4][emoji4]
Kwenye upole sipo kabisaaaaaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23]
Ahahaa haya mwaya[emoji3] mtoto mtukutu
Kwa hiyo unapenda kuvaa hills?Mi naipenda miguu yangu. Ndio maana nikaweka avatar ya tumiguu. Sidhani kama michango yangu inaendana na avatar yangu. Ila kwa kuangalia avatar, mwandiko na michango ya mtu unaweza kupata taswira huyu ni mtu wa aina gani. Hata ukijifanya anonymous.
Avatar ni kiwakilishi cha maono ya ndani ya mtu hata kama anajaribu kufake lakini huo ndio uhalisia wake usiokimbilika