Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
[emoji23][emoji23]kua na amani chif we Ni mtu muhimu kwenye kuinua pato la nchiHahaha ngoja nipige kimya tu
SASA SIJUI KAMA MICHANGO YANGU INAFANANA NA MKUYENGE
Hahaha ngoja nipige kimya tu
Duu huyo Tesla si alikuwa na kashfa ya ushoga ?Scientist and
Same life style as him
Zilikua tetesiDuu huyo Tesla si alikuwa na kashfa ya ushoga ?
Vip hiyo ya kwako?Uhh jitetee tu
🤔🤔kuna kaukweli
Cha upole....Kama yangu e?
Vip hiyo ya kwako?
Hahaha kwa hyo wew ni blackbeuty na una chura???Hiyo inayo reality yako je
Hahaha kwa hyo wew ni blackbeuty na una chura???
Yakwangu inajieleza,hiyo avatar ndio furaha yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Avatar ni kiwakilishi cha maono ya ndani ya mtu hata kama anajaribu kufake lakini huo ndio uhalisia wake usiokimbilikaKwa uchunguzi wangu wa haraka haraka, nimegundua kuwa avatar nyingi za wana JF na mawazo yao zinaendana kabisa, na inavyoonekana kuanzia mtu anachagua avatar yake anakuwa anacommunicate na inner most feelings and personality yake bila yeye mwenyewe kujitambua. kwa mfano bujibuji, katavi, mentor, kamaka, n so many more
Nimelipenda tako lilivyobinuka[emoji23][emoji23]inakaribiana
mfitini[emoji16][emoji848][emoji848]kuna kaukweli