Avatar za Wana JF na Michango yao zinafanana kabisa

Mi naipenda miguu yangu. Ndio maana nikaweka avatar ya tumiguu. Sidhani kama michango yangu inaendana na avatar yangu. Ila kwa kuangalia avatar, mwandiko na michango ya mtu unaweza kupata taswira huyu ni mtu wa aina gani. Hata ukijifanya anonymous.
 
Kwa hiyo unapenda kuvaa hills?
 
kwa hiyo Watu8 inawakilisha maono ya watu wangapi?
Avatar ni kiwakilishi cha maono ya ndani ya mtu hata kama anajaribu kufake lakini huo ndio uhalisia wake usiokimbilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…