Avatar

Avatar

Tunamwendo mrefu wa kutembea kwenye mabonde na maforest ya giza kinene mpaka kufikia huko tunapokwenda.

Yaani AVATAR tu watu wamechanganyikiwa kabisa, Carmel usibadilishe iache hivyo hivyo, nyie mnaotuma PM'S kwa Carmel stop it now.


Na wewe hiyo mikono nayoo!!!
 
Carmel weka hiyo mamaangu hawatakutumia tena PM's
images
 
Mi i thought it is just a symbol which has nothing to do with a person. sikudhani kama watu wazima kabisa wanaweza kuchanganuikiwa na avator kwenye internet, lakini nashangaa.
sasa ndo umeamua kulia???
 
mamaaaaaaaaaaaaaaaa, charity uko wapi? mama matesha eeh,woiiiiiiiiie!

Shhhhhhhiiiiiii! Kauka nawe basi dah!
Hapo umepunguza idadi ya maPM, ila umeongeza usumbufu kwa wakware. Screen zitapata shughuli yake!
 
better ufanye mabadiliko yenye kuleta manufaa na si kuzidi kuwaumiza wenzio
 
carmel
user_offline.gif

carmel is a superwoman!
JF Senior Expert Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png


sasa hapa mama naona unajiongezea pi-emu za kutongozwa!niliwahi kukueleza kuwa wanawake wenye ndoa zao ndio wanaoongoza kwa mvuto
 
Back
Top Bottom