Avatar

Hebu niambieni waungwana, hapa mnajadili nini? manake hizi fujohado nimefunga kiosk changu kuja kuangalia....naona moshi tu? moto u wapi?
 
Yani unasema mu avatar? yani mbaya? huyo ni my daughter........................
samahani babushka!

hahahaha mama Charity umefanya vema kuweka hiyo Avatar mtu chake bwana πŸ™‚
 
Hebu niambieni waungwana, hapa mnajadili nini? manake hizi fujohado nimefunga kiosk changu kuja kuangalia....naona moshi tu? moto u wapi?
namna hii kweli biashara itafanyika?πŸ˜€
 
Hebu niambieni waungwana, hapa mnajadili nini? manake hizi fujohado nimefunga kiosk changu kuja kuangalia....naona moshi tu? moto u wapi?
karibu kaka, golini umemuacha nani?
 
Jamani hizi avatar tunazoweka zinawafanya watu wapate mawazo gani? Mimi nimechoka nabadilisha yangu right now.

Hahahahahahaha...hongera maana kuna njemba nyingine huamua kusarandia dame hapa jamvini kutokana na Avatar tu πŸ˜‰...lakini huwezi kujua labda kuna kushabihiana kidogo na avatar hizo....LOL!
 
uncertainities!πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…