Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri tu na wala huna uhakika.
Na mtu mwengine akiuliza unamletea ngebe kuwa wewe una elimu ya chuo kikuu
Kwa wanafunzi nyie, huko vyuoni nna wasi wasi karibu watalazimika kuweka passing mark ya 20 tu
Umejuaje kuwa ninaelewa kinachozungumziwa? Au mnadhani dunia nzima system ni moja tu?Sina elimu ya chuo kikuu... Tatizo una maswali mengi kama polisi huku unaelewa kinacho zungumzia na ndio maana na mie nimekujibu hivyo...
And this is relevant because.....?Gaijin nakufatiliaga sana humu jamvini toka 2011
Ngoma ngumu huku..ndio maana ARDHI na COET cut off point ni 2.0..chezea science wewe!!..hio 40 percent inakutoa mikojo
muccobs kuna course za ajabu ajabu cjui nani alizianzisha..ba in drinking water,sijui bsc in piece building..hahahaaaa
..ardhi course zote miaka mi4 icpokua hizi ambazo zimechomekwa juzi ism,economics n baf..na ukiongea basi ongea kama mwanafunzi wa muccobs coz wewe si wa sua ukiingia kwenye campus ya sua unaitiwa mwizi wewe coz hawakutambui..sua walijua watapata vilaza cku za mbele ndio maana waliamuabkuanzisha ile taasisi..maana nimeangalia kwenye course za 2nd round kila course ya muccobs inahitaji watu hapo utajua kama watu hawana muda nacho hicho chuo chako muccobs
muccobs kuna course za ajabu ajabu cjui nani alizianzisha..ba in drinking water,sijui bsc in piece building..hahahaaaa
Hahahaaaa..yaishe kaka..mm na wewe tena..ugomv utokee wap!!niliona umepotea ndio mAana nilitaka urudi..huuu ni ukorofi nakuangalia tu ,unatafuta umaarufu kwa wakongwe
..ardhi course zote miaka mi4 icpokua hizi ambazo zimechomekwa juzi ism,economics n baf..na ukiongea basi ongea kama mwanafunzi wa muccobs coz wewe si wa sua ukiingia kwenye campus ya SUA unaitiwa mwizi wewe coz hawakutambui..sua walijua watapata vilaza cku za mbele ndio maana waliamuabkuanzisha ile taasisi..maana nimeangalia kwenye course za 2nd round kila course ya muccobs inahitaji watu hapo utajua kama watu hawana muda nacho hicho chuo chako muccobs
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf
average ya 40 n ngumu coz hata kuipata n ngumu ndio maana wameweka iyo 40
50 NA 40 IPI Kubwa?