Average ya 40% v/s average ya50%

Hamna shule ngumu, vichwa vya watu ndo vigumu..hiyo unayoona ww ngumu wenzako wanapiga 100.
 
Sina elimu ya chuo kikuu... Tatizo una maswali mengi kama polisi huku unaelewa kinacho zungumzia na ndio maana na mie nimekujibu hivyo... Gaijin nakufatiliaga sana humu jamvini toka 2011

Unafikiri tu na wala huna uhakika.

Na mtu mwengine akiuliza unamletea ngebe kuwa wewe una elimu ya chuo kikuu

Kwa wanafunzi nyie, huko vyuoni nna wasi wasi karibu watalazimika kuweka passing mark ya 20 tu
 
Last edited by a moderator:
Sina elimu ya chuo kikuu... Tatizo una maswali mengi kama polisi huku unaelewa kinacho zungumzia na ndio maana na mie nimekujibu hivyo...
Umejuaje kuwa ninaelewa kinachozungumziwa? Au mnadhani dunia nzima system ni moja tu?
For all we know, mpigamsuli is talking about average marks from assignments so one can sit for exam

Gaijin nakufatiliaga sana humu jamvini toka 2011
And this is relevant because.....?
 
nimesoma advanced diploma ya uhasibu katika chuo chenye 40% ilikuwa ngumu balaa,yani kuunganisha course work,assignment mpaka annual ili ifike 40 ilikuwaga mbinde mpaka nahitimu,japokuwa nlitoka na GPA 4, nikafanya tena digrii nyingine ya sheria chuo chenye 50%passmark na bado nako niliangahika kweli kweli kweli. In short hata wakiweza 20% inakuwa mbinde maana iyo scale ikiwa set out pia na maksi zinakuwa na mgawanyo mgumu. Nadhan mleta mada umenipata.
 
Ngoma ngumu huku..ndio maana ARDHI na COET cut off point ni 2.0..chezea science wewe!!..hio 40 percent inakutoa mikojo
 
..ardhi course zote miaka mi4 icpokua hizi ambazo zimechomekwa juzi ism,economics n baf..na ukiongea basi ongea kama mwanafunzi wa muccobs coz wewe si wa sua ukiingia kwenye campus ya SUA unaitiwa mwizi wewe coz hawakutambui..sua walijua watapata vilaza cku za mbele ndio maana waliamuabkuanzisha ile taasisi..maana nimeangalia kwenye course za 2nd round kila course ya muccobs inahitaji watu hapo utajua kama watu hawana muda nacho hicho chuo chako muccobs
 
MUCCoBS kuna course za ajabu ajabu cjui nani alizianzisha..ba in drinking water,sijui bsc in piece building..hahahaaaa
 

eti eegh? , unaanzisha ugomvi ,nakuangalia endelea tu
 
muccobs kuna course za ajabu ajabu cjui nani alizianzisha..ba in drinking water,sijui bsc in piece building..hahahaaaa

huuu ni ukorofi nakuangalia tu ,unatafuta umaarufu kwa wakongwe
 
"Not everything that counts can be counted, and not everything that can be counted counts." - Albert Einstein.
 

nukuuu; jamaa kila akitaja muccobs lazima aweke mabano then anaandika sua i.e muccobs(sua) it means hajiamini na muccobs yake...! Pamoja sana mkuu mpigamsuli
 
Last edited by a moderator:
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf

hv hzo average zinafaida kwenye kupata kazi na kiwango cha mishahara?kama havina faida kazini basi zote sawa akili kumkichwa kuchagua ipi wewe unapenda mwisho
 
ni ile ambayo wahitimu wakimaliza hawawezi kuitetea elimu yao, zingine mbwembwe tu 40:50 ni kama tu div 1 au 3 ama class
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…